Faharisi ya Buku la 81 la Amkeni!
Faharisi ya Buku la 81 la Amkeni!
AFYA NA DAWA
Akina Mama Walio na UKIMWI, 1/8
Aspirini Kila Siku, 6/22
Duka la Dawa la Kichina, 11/8
Endometriosis, 7/22
Inategemea Dhamiri (maradhi hatari ya promyelocytic leukemia), 8/22
Je, Macho Yako Yana Madoa? (vielea), 6/8
Jinsi ya Kuacha Kuvuta Sigareti, 3/22
Kaboni Monoksaidi—Mwuaji Asiyeonekana, 12/8
Kahawa na Kiasi cha Kolesteroli, 1/8
Kemikali za Kawaida, 8/8
Kuathiriwa na Laktosi, 5/8
Kuyalinda Meno Dhaifu (watoto wachanga), 11/22
Kuzuia “Busu” la Kifo (maradhi ya Chagas), 9/8
Maradhi ya Huntington, 3/22
Matatizo ya Tezi-Kibofu, 12/8
Matibabu ya Asili, 10/22
Miguu Isiyotulia, 11/22
Tauni ya Karne ya 14, 2/8
Tiba na Upasuaji Bila Damu, 1/8
Ugonjwa wa Kudumu—Kukabiliana Mkiwa Familia, 5/22
UKIMWI Katika Afrika, 5/8
Unusukaputi, 11/22
Upasuaji Bila Damu—Kisa Kilichofanikiwa, 9/8
“Utakufa!” (suala la damu), 5/8
Wauguzi, 11/8
DINI
Kuona Visivyoweza Kuonwa kwa Macho Matupu, 8/22
Santeria, 7/8
Sasa Wakiri Kutovumiliana Kidini (Uingereza), 4/8
Uwasiliani-Roho—Unasaidia au Unadhuru? 7/22
MABARA NA WATU
Antaktika, 7/22
Athens (Ugiriki), 3/8
Bratislava (Slovakia), 1/22
Duka la Dawa za Kichina, 11/8
Eneo la Makaburi Lisilo la Kawaida (Ekuado), 3/8
“Jiji la Kale Zaidi la Urusi” (Novgorod), 8/22
Kauri ya Koryo (kauri ya Korea), 11/22
Korongo la Shaba (Mexico), 11/8
Kupanda Mazao Kwenye Msitu wa Amazon, 11/22
Lamu—Kisiwa Ambacho Kimedumu Bila Kubadilika (Kenya), 3/22
Lesi Inayoshabihi Utando wa Buibui (Paraguai), 3/8
Maharamia wa Skandinavia—Washindi na Wakoloni, 12/8
Maonyesho Yenye Kuvutia ya Meli za Matanga (Ufaransa), 5/8
Mitakawa Iliokoa Uhai Wao (Uholanzi), 12/22
Mlima Ulipotaka Kuungana na Bahari (Venezuela), 10/22
“Nchi Iliyo na Utofautiano” (Brazili), 5/8
Ngazi Inayoelekea Angani (Filipino), 2/8
Nyavu za Kichina za Kuvulia Samaki (India), 4/22
Nyuki Wasiouma wa Australia, 11/8
Patmosi—Kisiwa cha Apokalipsi, 8/8
Petra—Jiji Lililochongwa Kutoka Kwenye Mwamba, 3/22
Piramidi za Mexico, 10/8
Saa ya Pekee Huko Prague (Jamhuri ya Cheki), 5/22
Simulizi la Mito Miwili (Ganga, Indus), 7/8
Somo Muhimu Kutoka kwa Kisiwa Kidogo Sana (Kisiwa cha Ista), 6/22
Tetemeko la Dunia! (Taiwan), 9/8
Uhuru wa Dhamiri (Mexico), 3/8
UKIMWI Katika Afrika, 5/8
Ukumbi wa Michezo ya Kuigiza wa Epidaurus (Ugiriki), 6/8
Vasa—Kutoka Katika Msiba Hadi Kuwa Kivutio (meli ya Sweden), 4/8
Volkeno Yenye Nguvu Sana, Kisiwa Kitulivu (Santorini, Ugiriki), 9/8
Wakazi wa Mapangoni wa Siku ya Kisasa (Lesotho), 6/8
Yellowstone—Chimbuko la Maji, Mwamba, na Moto (Marekani), 12/8
MAHUSIANO YA KIBINADAMU
Familia Yaungana Tena, 5/22
Familia Zisizo na Baba, 2/8
Je, Twapaswa Kuonyesha Kihoro? 8/8
Kulea Watoto Wema, 7/22
Lugha—Viunganishi na Vizuizi, 8/8
Tabasamu—Ni Yenye Manufaa Kwako! 7/8
Wahasiriwa wa Mateso, 1/8
MAMBO MENGINE
Braille, Louis, 9/8
El Niño? 3/22
Habari za Televisheni, 4/22
Hatari za Kuomba Lifti, 6/22
Je, Wajua?, 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Kiungo Kilichotoka Sehemu za Mbali Sana za Dunia (paprika), 9/8
Kuchora Kwenye Kauri, 8/22
Kufanya Usafiri wa Ndege Uwe Salama Zaidi, 9/22
Kujifunza Lugha ya Kigeni, 1/8
Kurekebisha Saa, 7/8
Kutumia Televisheni kwa Uangalifu, 5/22
Mwezi Huathiri Maisha Yako? 5/22
Ng’ombe Waendapo Likizo, 7/8
Safiri Salama! 9/8
Tai, 6/8
Unyoaji Laini Kabisa, 1/22
“Vitu Vyepesi” (vijiti vya kulia), 2/8
Wafa kwa Kupiga Makasia (manchani za karne ya 17), 12/22
Wahitaji Kitanda Kipya? 7/22
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Familia Zisizo na Baba, 2/8
Jaribio la Kutimua Vatikani Kutoka UM, 10/22
Jitihada ya Kutokeza Jamii Kamilifu, 9/22
Kujiua, 2/22
Maadili Yamepatwa na Nini? 4/8
Mabomu ya Ardhini, 5/8
Matatizo ya Watoto, 12/8
Michezo ya Olimpiki—Malengo Yake Yalipatwa na Nini? 9/8
Pengo Kati ya Matajiri na Maskini, 2/8
Ponografia Kwenye Internet, 6/8
Uenezaji-Habari, 6/22
Uhai Hauthaminiwi kwa Vyovyote? 7/8
Ulimwengu Ulioungana—Je, Utaanzia Ulaya? 4/22
“Utamaduni wa Mauaji,” 7/8
Utumwa wa Kisasa, 3/8
Wahasiriwa wa Mateso, 1/8
Wahasiriwa Wanaobadilika wa Vita, 1/22
MAONI YA BIBLIA
Desturi Zinazopendwa, 1/8
Imani ya Kweli—Ni Nini? 3/8
Je, Inafaa Kumwabudu Yesu? 4/8
Je, Mungu Ni Kigeugeu? 6/8
Jinsi ya Kukabiliana na Hali ya Kukata Tamaa, 5/8
Kusema Uwongo—Je, Kwaweza Kutetewa Wakati Wowote? 2/8
Kutafakari Ambako Hunufaisha, 9/8
Mapambo ya Mwili, 8/8
“Michezo Hatari,” 10/8
Ni Nani Aliye Mhudumu? 7/8
Sayansi Yaweza Kutokeza Uhai Udumuo Milele? 12/8
Unajimu, 11/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Baada ya Dhoruba (Ufaransa), 6/22
Elimu Inayoongoza Kwenye Uhai, 12/22
Ya Kwanza Miaka 100 Iliyopita (ofisi za tawi), 12/22
Imani Thabiti Licha ya Mateso (P. Esch), 4/8
Inategemea Dhamiri (suala la damu), 8/22
Kifaa cha Kufunzia Haki za Kibinadamu (Amkeni!), 4/8
Liliokoa Maisha Yake (Amkeni!), 10/22
Miaka Hamsini Nikichora Picha Kwenye Kauri (A. Lippert), 8/22
Mlima Ulipotaka Kuungana na Bahari (Venezuela), 10/22
Msaada wa Kuacha Uhalifu (Ufaransa), 8/22
Ni Nini Kilichompata Peter Mdogo? (kisa cha damu), 3/22
‘Ninawavulia Kofia Nyinyi Nyote,’ 9/22
Noah—He Walked With God (vidio), 3/8
‘Ulimwengu Wetu Ungekuwa Tofauti,’ 2/22
Uokoaji wa Ajabu (Benin), 11/8
Upendo wa Kikristo Wakati wa Volkeno (Kamerun), 4/22
Warusi Wathamini Sana Uhuru wa Kuabudu, 2/22
MASIMULIZI YA MAISHA
Hangaiko Langu Kuu—Kudumu Mwaminifu (A. Davidjuk), 10/8
Imani Chini ya Mnyanyaso wa Kimabavu (M. Dasevich), 9/22
Imani Yajaribiwa Huko Poland (J. Ferenc), 11/8
Jitihada Yangu ya Kufanya Uchaguzi Wenye Hekima (G. Sisson), 8/22
Kukabili Majaribu kwa Nguvu za Mungu (S. Kozhemba), 10/22
Kupitia Bahari Zenye Dhoruba Hadi Maji Yenye Utulivu (H. Sturm), 6/8
Loida Aacha Kukimya, 5/8
Nimeandaliwa Tumaini Linalonitegemeza (T. Vileyska), 12/22
“Vita Si Yenu Bali Ni ya Mungu” (W. G. How), 4/22
Wakati Ujao Wenye Tumaini Licha ya Udhaifu (K. Morozov), 2/22
SAYANSI
Bahari Zafunua Siri Zake za Ndani, 11/22
Chakula Kilichobadilishwa Maumbile, 4/22
Itatokeza Jamii Kamilifu? 9/22
Kelele ya Theluji, 10/8
Kuchora Ramani za Mbingu, 1/22
Kuona Visivyoweza Kuonwa Kwa Macho Matupu, 8/22
Kutafuta Chembe ya Urithi “Isiyokufa,” 7/8
Mageuzi Hupatana na Akili? 6/8
Nambari Muhimu Iliyo Tata Sana (pai), 7/22
Uhai—Umetokana na Ubuni, 1/22
Ukweli Ulifichwa kwa Miaka 50 (utaalamu wa mimea), 8/8
Ulimwengu—Je, Ulitokea kwa Nasibu? 10/8
“Zawadi ya Kifalme” ya Joachim Barrande (paleontolojia), 1/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
“Kazi ya Kudumu” Imepatwa na Nini? 10/8
Ni Hekima Kutega Uchumi Katika Soko la Hisa? 10/8
VIJANA HUULIZA
Baba Wanaotoroka Wajibu, 5/22, 11/22, 12/22
Hatari Katika Intenet, 1/22
Kushuka Moyo, 10/22
Kusumbuliwa Kingono, 8/22
Kutoboa Mwili, 3/22
Kuzaa Watoto, 4/22
Kwa Nini Mimi Ni Mwembamba Sana? 9/22
Kwa Nini Rafiki Yangu Aliniumiza? 2/22
Nikaishi Ng’ambo? 6/22, 7/22
WANYAMA NA MIMEA
Anaconda, 5/22
Kito cha Mwitu (waridi la jangwani), 3/22
Kudhibiti Mdudu Mharibifu (mountain pine beetle), 4/8
La Bambouseraie (bustani ya mianzi), 1/8
Maliki wa Ajabu (pengwini), 7/22
Mfungwa Aweza Kujifunza Nini Kutokana na Ndege? 5/8
Mitakawa Iliokoa Uhai Wao, 12/22
Mkataji-Miti wa Awali, (buku) 9/8
“Mkazi wa Msituni Mwenye Kuvutia Kuliko Wote” (bundi wa Lapland), 8/22
Mnyama Mwenye Mbeleko Anayerukaruka (kangaruu), 4/8
Mua, 8/8
Mzambarausime—Ua Lisilo la Kawaida, 2/22
“Mzoga” Warudia Uhai (ua), 6/22
“Ndugu Mdogo” Arejeapo Nyumbani (puffin), 5/8
Nyuki Wasiouma, 11/8
Papa-Mweupe Mkubwa, 2/22
Quetzal (ndege), 2/8
Twiga, 9/22
Upendo Unaposhindwa Kuona (nondo-maliki), 3/22
Viumbe Wanaoruka wa Baharini (taa), 8/8
Wadudu Wenye Kustaajabisha, 1/8