Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Septemba 8, 2001

Msaada kwa Matineja Walioshuka Moyo

Yaonekana kwamba vijana wanaobalehe wanashuka moyo zaidi ya wakati mwingine wowote. Kwa nini wao huathiriwa kwa urahisi? Wanaweza kusaidiwaje?

3 Kizazi Kilicho Hatarini

5 Kutambua Dalili

8 Kutambua Vyanzo

10 Namna Uwezavyo Kusaidia

22 Hutumiwa Kutengeneza Vitu Vigumu na Vyepesi

26 Wawindaji Wadogo Wenye Kuvutia

28 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Msichana Mdogo Mwenye Tumaini Thabiti

32 “Sijasoma Kamwe Kitabu Kama Hiki”

Wamaya—Walivyokuwa na Walivyo Leo 15

Soma jinsi mojawapo ya staarabu maarufu zaidi za mapema huko Amerika ilivyokuwa na ilivyo leo.

Je, Mungu Alikubali Biashara ya Watumwa? 20

Mamilioni ya watu wameteseka sana kwa sababu ya biashara ya watumwa. Je, Mungu hukubali wanadamu wadhulumiwe hivyo?