Yaliyomo
Yaliyomo
Desemba 8, 2001
Tumaini kwa Wale Wanaougua Yabisi-Kavu
Mamilioni ya watu—vijana kwa wazee—wanaugua ugonjwa wa yabisi-kavu. Ni nini kinachosababisha ugonjwa huo wenye kulemaza? Kwa nini wagonjwa hao wanaweza kutarajia kupona hatimaye?
3 Yabisi-kavu Ni Ugonjwa Unaolemaza
5 Yabisi-kavu Ni Ugonjwa wa Aina Gani?
9 Tumaini kwa Wale Wanaougua Yabisi-Kavu
13 Je, Wajua
14 Si Balaa, Bali Ni Chakula Kitamu
21 Jina la Mungu Lazusha Ubishi
24 Wauzaji wa Kale wa Vitabu na Bidhaa
31 Jumba la Makumbusho la Uingereza Larekebishwa
32 Majibu Yaweza Kupatikana Wapi?
Myanmar—“Nchi ya Kidhahabu” 16
Soma na uone ni kwa nini Myanmar inaweza kuitwa Nchi ya Kidhahabu.
Je, Wakristo Wanapaswa Kushiriki Desturi ya Fêng Shui? 22
Watu wengi katika nchi za Magharibi wameanza kupendezwa na desturi ya Mashariki ya fêng shui. Wakristo wanapaswa kuionaje?