Faharisi ya Buku la 82 la Amkeni!
Faharisi ya Buku la 82 la Amkeni!
AFYA NA TIBA
Afya Bora kwa Wote, 6/8
Dawa, 11/8
Faraja kwa Wagonjwa, 1/22
Je, Mtoto Wako Yuko Salama? (magari), 9/22
Kifo cha Polepole Hadi Maisha Yenye Furaha (maradhi ya beta-thalassemia), 1/8
Kula Mboga! 1/8
Mabuu Yanayotumiwa Katika Matibabu, 10/22
Magonjwa ya Kuambukiza, 7/22
Maradhi ya Marfan, 2/22
Matineja Walioshuka Moyo, 9/8
Mfadhaiko wa Tukio Lenye Kutisha, 8/22
Takwimu za UKIMWI, 2/22
Ugonjwa wa Interstitial Cystitis, 3/8
Ugonjwa wa Mfumo wa Kinga (scleroderma), 8/8
Uhai Una Thamani (kujiua), 10/22
Vyakula Vinavyodhuru Afya, 12/22
Walinzi Wanaolinda Afya (mfumo wa kinga wa mwili), 2/8
Yabisi Kavu, 12/8
DINI
Biblia—Je, Ina Historia Inayotegemeka? 3/8
Biblia ya Dalmatin (ya Kislovenia), 6/22
Jina la Mungu Lazusha Ubishi, 12/8
Kanisa la Anglikana Limegawanyika, 12/22
Makanisa Makuu, 6/8
Mashambulizi ya Sovieti, 4/22
Miti ya Yew Katika Maeneo ya Makaburi Huko Uingereza, 7/8
MAHUSIANO YA WANADAMU
Chuki Imeenea Ulimwenguni Pote, 8/8
Daraka Muhimu la Akina Baba, 8/22
Kuokoa Ndoa, 1/8
Kutia Watoto Nidhamu, 11/8
Msaada kwa Wanawake Wanaopigwa, 11/8
Uwasomee Watoto Wako, 11/22
Wazee, 8/8, 8/22
MAMBO MENGINE
“Dhahabu” ya Kaskazini (kaharabu), 5/22
Hutumiwa Kutengeneza Vitu Vigumu na Vyepesi (chuma cha pua), 9/8
Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Kitabu cha Kumbukumbu, 8/8
Kujifunza Kutokana na Historia, 3/8
Kutokeza Taswira kwa Kutumia Maneno (mashairi), 6/8
Kuvuka Mstari (mstari wa tarehe wa kimataifa), 12/22
Maji Yanapokuwa Mekundu, 6/8
Majira ya Vuli, 10/8
Mamilioni Waliuawa—Je, Itatokea Tena? 5/8
Maneno ya Siri (kompyuta), 6/22
Mawimbi Yanayofisha (tsunami), 2/8
Mchezo wa Kuteleza Kwenye Theluji, 10/8
Mkusanyaji Aliyemheshimu Muumba, 1/22
Ni Nani Anayeongea? (kutoa sauti kana kwamba inatoka kwa mwingine), 1/8
Nywele, 4/8
Sherehe Zinazopendwa (Halloween), 10/8
Si Balaa, Bali Ni Chakula Kitamu (huitlacoche), 12/8
Simu Zinaunganishwaje? 5/22
Vizima-Moto, 1/22
Wauzaji wa Kale wa Vitabu na Bidhaa, 12/8
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Cheche za Mnururisho, 2/22
Chuki Imeenea Ulimwenguni Pote, 8/8
Je, Kutakuwa na Maji ya Kutosha? 6/22
Je, Tunaweza Kukuza Chakula Cha Kutosha? 9/22
Kukabiliana na Hekaheka za Leo, 2/8
Magereza Yamo Taabani, 5/8
Majiji Yamo Taabani, 4/8
Mambo Ambayo Ujerumani Iliyounganika Inakabili, 3/8
Matumizi ya Dawa za Kulevya, 7/8
Ugaidi, 5/22
Vifaa vya Kufisha (silaha ndogo-ndogo), 3/22
Wafanyakazi wa Kujitolea, 7/22
Wanaweza Kutumia Vibaya Vitambulisho Vyako! 3/22
“Watafua Panga Zao Ziwe Majembe”—Lini? 3/8
Watu Wengi Kupindukia, 4/22
MAONI YA BIBLIA
Biashara ya Watumwa, 9/8
Desturi ya Fêng Shui, 12/8
Je, Dini Zote Zinaongoza kwa Mungu? 6/8
Je, Ndoa Iwe Muungano wa Maisha? 2/8
Je, Ndoto Ni Ujumbe Kutoka kwa Mungu? 4/8
Je, Ni Vibaya Kuomboleza? 7/8
Je, Yehova Alikuwa Mungu wa Kikabila? 5/8
Jinsi Mungu Anavyotumia Nguvu, 11/8
Mikutano ya Kikristo, 3/8
Mpinga-Kristo, 8/8
Mungu Ni Mvumilivu Kadiri Gani? 10/8
Uchaguzi wa Matibabu, 1/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Kazi Inasifiwa Huko Moscow, 12/22
Kukabiliana na Msiba Mbaya Sana (J. Giarrano), 7/22
Mafuriko Huko Msumbiji, 4/22
Masimulizi ya Imani Kutoka Gereza Maarufu (Marekani), 11/22
Shabaha ya Mashambulizi ya Sovieti, 4/22
Udugu Wenye Umoja Usioweza Kuvunjwa (El Salvador), 10/22
Wafanyakazi wa Kujitolea, 7/22
MASIMULIZI YA MAISHA
Jina la Mungu Lilibadili Maisha Yangu! (S. Tsosie), 7/8
Kutoka Kifo cha Polepole Hadi Maisha Yenye Furaha (D. Datseris), 1/8
Kutukuza Amani Badala ya Vita (D. Horle), 4/8
Maisha Yangu Nikiwa Mchoraji (S. Kawabata), 8/22
Mama na Binti Zake Kumi (E. Lozano), 10/22
Niliachwa na Wazazi—Nikapendwa na Mungu (B. Finn), 6/22
Nilipata Usalama Nijapokuwa Kiziwi na Kipofu (J. Adams), 4/22
Nilitegemezwa kwa Kumwamini Mungu Kabisa (R. Sacksioni-Levee), 12/22
Vita Haikukomesha Kazi Yetu ya Kuhubiri (L. Barlaan), 2/22
NCHI NA WATU
Carthage, 11/8
Cherrapunji—Mojawapo ya Sehemu Zenye Mvua Nyingi Zaidi (India), 5/8
Dhahabu Iliyohamisha Milima (Hispania), 1/22
Eneo Lenye Maua ya Pekee (Afrika Kusini), 6/22
Familia za Korea Zilizoungana, 8/8
Fumbo la Nan Madol (Pohnpei), 1/8
Gurudumu Kubwa la Vienna, 11/8
Je, Leif Eriksson Alivumbua Amerika? 9/22
Jiji Lenye Watu wa Mashariki na Magharibi (Afrika Kusini), 9/22
Jumba la Makumbusho la Uingereza, 12/8
Kente—Nguo ya Wafalme (Afrika), 9/22
Kofia ya Panama (Ekuado), 5/8
Kufanya Bara Kame Litoe Mazao (India), 4/8
Kuiona Kimbele Paradiso (Bustani ya Wanyama ya Cabárceno, Hispania), 3/22
Mahali Ngamia na Farasi Hurandaranda (Australia), 4/8
Mambo Ambayo Ujerumani Iliyounganika Inakabili, 3/8
Mambo Yenye Kupendeza Jijini Roma (Italia), 7/8
Mapambo ya Italia, 11/22
Mapango ya Carlsbad (Marekani), 5/22
Maporomoko ya Maji ya Niagara (Amerika Kaskazini), 7/8
Maswali Mengi Yamezuka Kuhusu Kaburi la Newgrange (Ireland), 5/22
Matatu—Gari la Usafiri Nchini Kenya, 11/8
Meteora (Ugiriki), 8/22
Milan na Turin (Italia), 7/22
Milki ya Byzantium, 10/8
Miti ya Yew Katika Maeneo ya Makaburi Huko Uingereza, 7/8
Mnara wa Crest (Ufaransa), 4/22
Mwanadamu Amemkandamiza Mwanadamu (Wahindi Wamarekani), 11/8
Myanmar, 12/8
Safarini Huko Ghana, 5/8
Safu ya Milima ya Rocky Iliyofanyizwa Karibuni Zaidi (Marekani), 10/22
Sanaa za Jangwa la Namibia, 3/8
Sanaa za Maua Huko Montreal (Kanada), 5/8
Useremala wa Japani (yosegi), 5/8
Wamaya, 9/8
Wanyama Wasiojulikana wa Vietnam, 10/22
Wasafirishwa Hadi Botany Bay (Australia), 2/8
SAYANSI
Aorta—Ubuni wa Kustaajabisha, 3/22
Jua, 3/22
Kutabiri Hali ya Hewa, 4/8
“Lori Ndogo za Mwili” (chembe nyekundu za damu), 11/22
Mfumo wa Mzunguko wa Damu, 3/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Bima, 2/22
‘Jaribio Halijafaulu’ (uchumi wa ulimwenguni pote), 11/8
VIJANA HUULIZA
Babu na Nyanya, 4/22, 5/22
Kufanya Usomaji wa Biblia Ufurahishe Zaidi, 8/22
Kulipiza Kisasi, 10/22
Kutoka Kisiri, 2/22
Miadi na Kukutana Kirafiki, 1/22, 12/22
Naweza Kumkataaje? 3/22
Ninawezaje Kuacha Kuwa na Wasiwasi Mwingi Mno? 9/22
Sala, 6/22, 7/22
Watu Wenye Hasira, 11/22
WANYAMA NA MIMEA
Eneo Lenye Maua ya Pekee (Afrika Kusini), 6/22
Je, Umewahi Kukutana na Xoloitzcuintli? (mbwa), 1/8
Je, Viumbe wa Dunia Wanaweza Kuhifadhiwa? 6/8
Kermode Wenye Rangi Mbalimbali (dubu), 8/22
Kongoti—Ndege Anayeeleweka Vibaya, 8/8
Korobindo wa Uingereza, 2/8
Kuku, 10/8
Kumlea Mtoto Porini, 1/22
Maajabu ya Kome, 9/22
Machungwa Yanapokosa Rangi ya Machungwa, 2/8
Mfumo wa Viumbe, 11/22
Miti ya Yew Katika Maeneo ya Makaburi Huko Uingereza, 7/8
Mkalatusi—Ni Wenye Manufaa Kadiri Gani? 2/22
Mti Unaoamka Mapema (mlozi), 10/8
Mti Utakaokuduwaza (guayacan), 3/8
Mti wa Candelabra, 5/8
Mti wa Tule, 11/22
Ngamia na Farasi (Australia), 4/8
Nondo, 6/8
Sanaa za Maua Huko Montreal (onyesho la maua), 5/8
Sili-Watawa wa Mediterania, 3/8
Vipepeo, Mimea, na Siafu, 5/22
Wako Karibu Kutoweka, 7/22
Wanyama Wasiojulikana wa Vietnam, 10/22
Wawindaji Wadogo Wenye Kuvutia (nguchiro), 9/8
Wimbo wa Mapenzi wa Nyenje, 6/22