Faharisi ya Buku la 83 la Amkeni!
Faharisi ya Buku la 83 la Amkeni!
AFYA NA TIBA
Asali Ni Dawa Bora, 3/8
Joto Hupunguza Ambukizo, 6/22
Kuendesha Baiskeli, 3/8
Kuokoa Uhai wa Watoto Wachanga, 6/8
Kushuka Moyo Baada ya Kujifungua, 7/22
Linda Uwezo Wako wa Kusikia! 5/22
Mazulia, 4/22
Mimba Yangu Iliharibika, 3/22
Mwangaza Hutokeza Usingizi Mtamu, 3/22
Nywele, 8/8
Shinikizo la Damu, 4/8
UKIMWI, 11/8
Vijana Wanaosinzia, 7/22
Vyakula Bora, 5/8
DINI
Je, Ibilisi Ni Kiumbe Halisi? 2/22
Kimbilio la Wachapaji wa Biblia (Ubelgiji), 9/8
Kuabudu Jinsi Mtu Apendavyo, 4/22
Kuombea Amani, 10/22
“Sanamu kwa Ajili ya Ibilisi” (Hispania), 7/8
Sherehe za Vía Crucis (Mexico), 8/8
Tatizo la Kidini Brazili Ilipokuwa Koloni (biashara ya watumwa), 9/8
Ufalme Uliotetea Uhuru wa Kidini (Transylvania), 6/22
MAHUSIANO YA WANADAMU
Familia za Mzazi Mmoja, 10/8
Faraja kwa Waombolezao, 5/8
Mama, 4/8
Ndoa Ni Muungano wa Kudumu, 2/8
Siku ya Arusi, 2/8
MAMBO MENGINE
Aksidenti za Magari, 8/22
Chumvi, 6/8
“Dhahabu Nyekundu” (marijani), 11/22
Faida na Hasara za Moto, 9/22
Hati ya Magna Carta, 12/22
Je, Michezo ya Kompyuta Ina Ubaya Wowote? 12/22
Je, Unajua Tofauti? (zana za muziki), 11/8
Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Jinsi Divai Yenye Mapovu Inavyotengenezwa, 1/8
Kuambatana na Upepo (maputo), 3/8
Kuna Ubuni Katika Uumbaji, 12/8
Kunaswa Katika Tone la Manjano (kaharabu), 9/22
Kusisimuliwa na Michezo Hatari, 10/8
Kusoma Midomo, 10/8
Kutafuna Chingamu, 2/22
Kutumia Nguvu Zilizo Ardhini, 8/8
Mabwawa, 1/22
Majengo Yenye Maduka, 5/8
Maji Huenda Wapi? 10/8
Marashi, 2/8
Meli Zenye Nguvu (zinazovunja barafu), 11/22
Mtetezi wa Vita? (Alfred B. Nobel), 5/8
Namba (ubashiri unaotumia namba), 9/8
Paka Rangi Mpya, 8/22
Sikiliza ili Ujifunze, 4/8
Upimaji-Ramani, 6/8
Vyombo vya Angani Vyenye Kusisimua, 10/22
Zumari, 12/8
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Familia za Mzazi Mmoja, 10/8
Je, Amani ya Ulimwenguni Pote Ni Ndoto Tu? 5/8
Je, Bado Ni Salama Kusafiri kwa Ndege? 12/8
Jeuri Kwenye Michezo ya Watoto, 12/8
Kucheza Kamari, 7/22
Kujifunza Kutokana na Yaliyopita, 8/8
Kuunganisha Ulimwengu, 5/22
Kwa Nini Tunahitaji Polisi? 7/8
Makosa Madogo Yanaposababisha Misiba, 10/22
Mbona Watu Wana Ghadhabu? 2/8
Siku Ile Minara Miwili Iliporomoka, 1/8
Silaha za Kibiolojia, 9/22
Takataka, 8/22
Utalii—Biashara ya Ulimwenguni Pote, 2/8
Utumwa, 6/22
Wakimbizi, 1/22
Waokokaji wa Tetemeko la Ardhi, 3/22
MAONI YA BIBLIA
Je, Mungu Hupuuza Udhaifu Wetu? 11/8
Je, Mungu Huunga Mkono Vita? 5/8
Je, Wakristo Wanapaswa Kuhubiri? 6/8
Krismasi, 12/8
Kuhisi Hatia, 3/8
Maoni ya Mungu Kuhusu Jeuri, 8/8
Mikaeli Yule Malaika Mkuu, 2/8
Ponografia, 7/8
Sala Ambazo Mungu Husikia, 9/8
Sherehe za Mwaka Mpya, 1/8
Ulinzi wa Mungu, 4/8
Vitu Vilivyochimbuliwa, 10/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Jitihada Yake Ilileta Thawabu (msichana wa shule), 5/8
Kazi Kubwa ya Kutoa Msaada (Texas, Marekani), 11/22
Kijana Anayejivunia Dini Yake, 1/8
Kutumia Amkeni! kwa Matokeo Mazuri, 9/8
Makusanyiko ya Wilaya ya “Watangazaji wa Ufalme Wenye Bidii,” 6/8
Mjadala Kwenye Televisheni (Georgia), 7/22
Mnyanyaso Huko Georgia, 1/22
Ugiriki Yaunga Mkono Haki za Dini, 2/22
MASIMULIZI YA MAISHA
Imani Inajaribiwa Huko Slovakia (J. Bali), 12/22
Jinsi Matumaini Yangu Yalivyotimizwa (A. Žitníková), 2/22
Kuacha Vita na Kutafuta Amani (T. Niwa), 12/8
Licha ya Majaribu, Tumaini Halijafifia (A. Hanák), 4/22
Mwanasiasa Awa Mkristo (L. Šmejkal), 6/22
Wakutana kwa Njia ya Pekee (D. Sheets, M. Ruge), 10/22
NCHI NA WATU
Abrolhos (Visiwa vya Brazili), 12/22
Barabara Ndefu Zaidi ya Chini ya Ardhi (Norway), 7/8
Hazina za Oaxaca (Mexico), 6/22
Jangada—Mashua za Brazili, 3/8
Jiji la Dhahabu Nyeusi (Brazili), 5/8
Karamu Nchini Hawaii, 6/8
Kimbilio la Wachapaji wa Biblia (Ubelgiji), 9/8
Kipindi cha Wafungwa (Australia), 4/22
Kisima Kikuu cha Artesia (Australia), 2/8
Kuandika Hankul (Korea), 5/8
Kukimbia Mlipuko wa Volkano (Kongo [Kinshasa]), 11/8
Majengo Marefu Huko Asia, 6/22
Mawimbi ya Evripos (Ugiriki), 9/22
Mbuga ya Taifa ya Olympic (Marekani), 1/8
Mbuga ya Wanyama wa Mediterania (Hispania), 5/22
Michongo ya Alabasta (Italia), 10/22
Mji wa Lulu (Australia), 4/8
Njaa Kuu ya Ireland, 10/8
Nzumari za Nyasi (Visiwa vya Solomon), 1/8
Picha Zenye Kuvutia Kwenye Miamba Huko Val Camonica (Italia), 4/22
Reli ya India, 7/8
“Sanamu kwa Ajili ya Ibilisi” (Hispania), 7/8
Sanamu ya Ukumbusho (Marekani), 11/8
Sherehe za Vía Crucis (Mexico), 8/8
Tatizo la Kidini Brazili Ilipokuwa Koloni (biashara ya watumwa), 9/8
Vitabu Milioni Kumi Katika Nyumba ya Vioo (Ufaransa), 9/8
Wamasai Ni Watu Wanaovutia, 2/22
Wasafiri Walioongozwa na Nyota (Wapolinesia), 8/8
Watu Wanaopigapiga Vitambaa (Mali), 9/22
SAYANSI
Chembe za Msingi, 11/22
Giza Lililotokea Adhuhuri (kupatwa kwa jua), 8/22
Inawezekana Kupatanisha Sayansi na Dini? 6/8
Uvumbuzi Kuhusu Jicho, 11/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Je, Uko Salama Kazini? 2/22
Kazi Isiyo ya Kawaida (kuokota magogo), 12/22
Maoni Yanayofaa Kuhusu Kazi, 2/22
Walimu, 3/8
VIJANA HUULIZA
Je, Ninahitaji Simu ya Mkononi? 10/22
Kuna Hatari Gani Kujihusisha na Mizungu? 1/22
Kuwa Mwenye Kuvutia, 7/22
Kuwahubiria Wanashule, 2/22, 3/22
Mbona Mzazi Wangu Hanipendi? 9/22
Upasuaji wa Kubadili Sura, 8/22
Uvutano wa Marika, 11/22, 12/22
Yule Unayeishi Naye, 4/22, 5/22, 6/22
WANYAMA NA MIMEA
Balolo—“Chakula Kitamu cha Pasifiki,” 9/8
Buibui Anayejifanya Kuwa Chungu, 4/22
Chui wa Theluji, 5/8
Coelacanth (samaki), 9/8
Dubu-Jike Hulala Fofofo, 8/8
Huchukua Muda Mrefu Sana Kukomaa! (mmea wa Puya raimondii), 3/8
Jani Katika Utando wa Buibui! 7/22
Je, Ni Mnyama Kipenzi au Ni Muuaji Hatari? 8/22
Kasuku Wamo Hatarini, 7/22
Kea (ndege), 2/8
Kilimo cha Kutumia Mbolea ya Kimaumbile, 3/22
Kinywaji Kutoka kwa Mmea wa Kigeni, 5/8
Kochinili—Ni Mdudu wa Pekee Sana, 7/8
Kufuga Vipepeo, 7/22
Kuhifadhi Mbegu, 4/8
Kuwachunguza Wanyama-Pori, 3/22
Lugha ya Mbugani—Mawasiliano ya Wanyama, 4/8
Macho ya Tai, 12/22
Melesi (Uingereza), 11/8
Miwati ya Kidhahabu, 8/22
Mmea Duni Lakini Tata (mwani), 3/22
“Mwangaza Kamili” (kimulimuli), 9/22
Mwindaji Anayenyemelea (simba-mangu), 9/8
Ng’ombe-Mwitu Weupe (Uingereza), 6/22
Nyasi, 6/8
Pengwini Wadogo, 10/22
Pomboo, 1/8
Punda-Mwitu, 1/22
Samaki wa Mtakatifu Petro, 2/22
Stafeli (tunda), 5/22
Ushindi wa Nyanya! 7/22
Vanila, 9/22
Wadudu Wanaoondoa Takataka, 5/22
Yai la Mbuni, 5/22
Yurumí (mnyama anayekula mchwa), 11/22
Zabibu Zilizoganda Zinazotokeza “Divai ya Dhahabu,” 3/22