Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Mei 22, 2004

Je, Tutafaulu Kukomesha Magonjwa?

Sayansi ya tiba imefanya maendeleo mengi kupambana na magonjwa, lakini je, kuna wakati ambapo hakutakuwa na magonjwa yoyote ulimwenguni? Ikiwa ndivyo, itawezekanaje?

3 Jitihada za Muda Mrefu za Kuboresha Afya

7 Matokeo ya Jitihada za Kupambana na Magonjwa

11 Ulimwengu Usio na Magonjwa

14 Paka Mwenye Masikio ya Ajabu

22 Mbegu Inayosafiri Baharini

24 Kwa Nini Wengi Hupata Homa Inayosababishwa na Vumbi?

25 Mailyn Atapata Uso Mpya

28 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Kuuongoza Ulimi Kama Farasi Anavyoongozwa kwa Hatamu

32 “Kutembea Pamoja na Mungu Huleta Baraka Sasa na Milele”

Kutembelea Kisiwa cha Gilasi 16

Mafundi stadi kwenye kisiwa hicho maarufu wamekuwa wakitengeneza gilasi zinazojulikana ulimwenguni pote kwa kuendeleza tamaduni zao za karne nyingi.

Jamani! Mbona Ananitesa? 19

Watu wengi hupigwa au kutukanwa na wapenzi wao.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Photo by Christian Keenan/Getty Images