Yaliyomo
Yaliyomo
Novemba 22, 2004
Ukimwi Utakwisha Lini?
Kwa miaka 20 hivi, wahudumu wa afya na watafiti wa kitiba ulimwenguni pote wamejitahidi juu chini kupambana na UKIMWI. Je, wanakaribia kukomesha ugonjwa huo hatari?
3 Dawa ya UKIMWI Yahitajiwa Upesi!
5 Mafanikio Katika Pambano Dhidi ya UKIMWI
13 Je, Barabara Zote Zilielekea Roma?
16 Jangwa Lafanywa Kuwa Paradiso
22 Jitihada za Mwanadamu za Kutumia Upepo
31 Je, Kuishi Pamoja Bila Kuoana Ni Msingi Mzuri wa Ndoa?
32 Jinsi Unavyoweza Kumkaribia Mungu
Mahakama ya Ulaya Yatetea Haki za Mama Mmoja 12
Mahakama moja kuu yabatilisha uamuzi usio wa haki uliofanywa dhidi ya mama mmoja na watoto wake.
Vijana wengi huogopa kukosea. Lakini kila mtu hukosea. Unaweza kuepukaje huzuni inayotokana na kutofaulu katika jambo fulani?
[Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: MAREKANI Mgonjwa wa UKIMWI anajitayarisha kumeza dawa 14 ambazo yeye hutumia mara tatu kwa siku
[Hisani]
COVER: Photo by Joe Raedle/Getty Images
[Picha katika ukurasa wa 2]
AFRIKA KUSINI Wazazi wa watoto hawa wawili wanakaribia kufa kwa UKIMWI
[Hisani]
© Paul Weinberg/Panos Pictures