Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Machi 22, 2005

Milima​—Ni Muhimu kwa Uhai Duniani

Milima ni muhimu sana katika kuendeleza uhai duniani. Hata hivyo, milima inaweza kuharibiwa kwa urahisi. Ni nini kinachofanywa ili kuilinda?

3 Tunahitaji Milima

5 Milima Imo Hatarini

11 Ni Nani Atakayeiokoa Milima?

12 Wewe Huendesha Gari Upande Gani wa Barabara?

14 Jinsi Wanyama Wanavyowalisha na Kuwatunza Watoto Wao

23 Jinsi Chokoleti Inavyotengenezwa

26 Lulu za Bahari za Kusini

28 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Watazamaji Wanaoweza Kuathiriwa

32 Mkaribie Muumba

Venice​—“Jiji Lililo Baharini” 16

Jifunze matatizo yanayokabili jiji hili la pekee lenye “barabara” za maji.

Kwa Nini Nifanye Kazi za Mikono? 20

Watu wengi hawapendi kazi za mikono. Lakini unaweza kufaidika kwa njia nyingi ukijifunza kufanya kazi hizo.

[Picha katika jalada, ukurasa wa 2]

Cover: Grand Teton, Wyoming, U.S.A.; below: Mount Shuksan, Washington, U.S.A.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

© Medioimages