Yaliyomo
Yaliyomo
Julai 22, 2005
Je, Misiba ya Asili Inaongezeka?
Vyombo vya habari vinaripoti misiba mingi ya asili, kutia ndani matetemeko makubwa ya nchi na tsunami. Misiba hiyo inasababishwa na nini? Itakuwaje wakati ujao?
3 Je, Misiba ya Asili Inaongezeka?
5 Misiba ya Asili—Jinsi Wanadamu Wanavyochangia Kuongezeka Kwake
10 Misiba Yote Itakoma Hivi Karibuni
12 Kujaribu Kulisha Watu Bilioni Moja
18 Jamii za Wanyama Zinazokabili Hatari ya Kutoweka
22 Kubaki Hai Kunapotegemea Kujificha
24 Divai, Mbao, na Utengenezaji wa Mapipa
31 Tulionywa kwa Kusoma Amkeni!
32 Mungu ana kusudi gani kutuelekea?
Mtu Aliyeonyesha Kwamba Dunia Huzunguka 14
Nikolao Kopeniko aliitwa mjinga, hata hivyo mambo aliyotimiza yameathiri maoni ya watu leo.
Kwa Nini Ninavutiwa na Watu Wasiofaa? 19
Je, umewahi kuvutiwa na mtu asiyefaa? Ni nini hufanya mtu avutiwe na watu wa aina hiyo?
[Picha katika jalada]
JALADA: BANGLADESH MWAKA WA 2004 Mamilioni ya watu wabaki bila makao kufuatia mafuriko
[Hisani]
COVER: © G.M.B. Akash/Panos Pictures
[Picha katika ukurasa wa 2]
INDIA MWAKA WA 2004—Msichana mwenye hofu aliyebaki bila makao kufuatia tsunami iliyosababisha vifo vya watu wengi zaidi katika historia. Iliathiri nchi 12 na kuwaangamiza watu zaidi ya 200,000
[Hisani]
Background: © Dermot Tatlow/Panos Pictures; girl: © Chris Stowers/Panos Pictures