Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Desemba 22, 2005

Tauni Nyingine Itatukia Lini?

Homa ya Hispania iliua watu wengi sana kuliko ugonjwa wowote wa kuambukiza katika historia. Kichapo kimoja kinasema kwamba “kila mwaka tunakaribia zaidi tauni nyingine.” Ona sababu zinazofanya tutarajie kwamba tauni nyingine kama hiyo itakumba ulimwengu.

3 Je, Itatukia Tena?

4 Tauni Mbaya Zaidi Katika Historia

7 Mambo Tunayojua Sasa Kuhusu Homa

10 Tauni​—Wakati Ujao Utakuwaje?

16 Hadithi za Biblia Zasimuliwa kwa Barafu na Theluji

18 Blini za Urusi​—Si chapati za maji za kawaida

19 Vijana Huuliza  . . . Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Dawa za Steroidi?

26 Bass Rock​—Mahali Ambapo Membe Hukutana

28 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Fahirisi ya Buku la 86 la Amkeni!

32 Kilimchochea Kijana Achunguze Maisha Yake

Kuhukumiwa Mara Mbili Kifungo cha Miaka 25 ya Kazi Ngumu 12

Soma kuhusu mtu mmoja ambaye aliteswa kwa sababu ya kukataa kupigana na Wasovieti wakati wa Vita vya Kwanza vya Ulimwengu na baadaye wakamfanyiza kazi ngumu karibu afe katika kambi ya kazi ngumu.

Uvumbuzi Wenye Kushangaza Katika Ikweta ya Dunia 22

Mwaka wa 1936 sanamu ya ukumbusho ilijengwa kwenye ikweta ambayo wanasayansi Wafaransa waligundua. Lakini jifunze jinsi wenyeji wa mahali hapo walivyogundua ikweta halisi.

[Picha katika jalada]

Jalada: Hospitali ya dharura wakati wa tauni ya homa ya Hispania, huko Camp Funston, Kansas, Marekani

[Hisani]

Cover: National Museum of Health & Medicine, Armed Forces Institute of Pathology, NCP 1603