Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2006
Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2006
AFYA NA TIBA
Damu—Kwa Nini Ina Thamani Kubwa Sana? 8/06
Kituo cha Viungo Bandia, 2/06
Kuishi na Ugonjwa wa ALS, 1/06
Kukabiliana na Matatizo ya Uzee, 2/06
Kukanda Mtoto, 7/06
Kuvu—Faida na Madhara Yake, 1/06
Simu za Dharura—London, 3/06
Unapokuwa Mgonjwa kwa Kula Samaki, 7/06
DINI
Dini ya Quaker, 11/06
Halloween, 10/06
Je, Mungu Alitumia Mageuzi? 9/06
Kwa Nini?—Kujibu Swali Gumu Zaidi, 11/06
Mahujaji na Wapuriti, 2/06
Michael Agricola (Mtafsiri wa Biblia), 1/06
Michael Servetus—Alitafuta Ukweli, 5/06
Yesu Alikuwa Nani? 12/06
MAHUSIANO YA WANADAMU
Kumweleza Binti Yako Kuhusu Hedhi, 5/06
Mtoto Anapokufa, 1/06
Ndoa Yenye Furaha, 7/06
“Pindi za Mlo Hutuwezesha Kukaribiana Zaidi,” 11/06
Upendo, 3/06
Watoto Wenye Mahitaji ya Pekee, 4/06
MAMBO MENGINE
Burudani za Umma (Milki ya Roma), 11/06
Furaha, 4/06
Hariri, 6/06
Je, Unayoamini Ni Muhimu? 9/06
Mashua ya Galilaya, 8/06
Televisheni, 10/06
Tutazamie Nini Wakati Ujao? 1/06
Upigaji-Picha, 6/06
Wezi wa Magari, 10/06
MAONI YA BIBLIA
Dhambi ya Kwanza, 6/06
Je, Inawezekana Kuwa Mwenye Kufanya Amani? 5/06
Je, Kuna Mungu Mmoja Tu wa Kweli? 2/06
Je, Kweli Yesu Alikufa Msalabani? 4/06
Je, Kweli Yesu Alikuwa Mwana wa Mungu? 3/06
Je, Ni Sawa Kufanya Ngono Kabla ya Ndoa Ikiwa Mnapendana? 11/06
Je, Roho Takatifu Ni Mtu? 7/06
Je, Sayansi Inapingana na Masimulizi ya Mwanzo? 9/06
Je, Unaweza Kuwasaidia Wafu? 10/06
Je, Wanadamu Huwa Malaika Wanapokufa? 8/06
Kileo, 12/06
Kwa Nini Utegemee Mwongozo wa Biblia? 1/06
MASHAHIDI WA YEHOVA
Imani ya Mtoto (mgonjwa kansa), 8/06
Kumsaidia Kijana Anayetaabika, 10/06
Kwa Wasomaji Wetu (Amkeni!), 1/06
Makusanyiko ya “Ukombozi Unakaribia!” 6/06
“Ni Kizuri Sana” (Kitabu Biblia Inafundisha), 11/06
“Ni Nzuri Sana” (Broshua “Nchi Nzuri”), 2/06
“Wafungwa kwa Sababu ya Imani Yao” (Auschwitz), 4/06
Waliokoka kwa Kutii Maonyo (Tufani Katrina), 6/06
“Wewe Husherehekea Sikukuu ya Akina Nyanya?” 12/06
Zawadi Iliyothaminiwa Sana (kitabu Mwalimu), 12/06
MASIMULIZI YA MAISHA
Alipenda Alichojifunza, 12/06
Imani Yangu Yaniimarisha—Kuishi na Ugonjwa wa ALS (J. Stuart), 1/06
Kukombolewa Kutokana na Taabu (J. François), 11/06
Nilijifunza Kumtegemea Mungu (E. Toom), 4/06
Nilikuwa Mwana Mpotevu (M. W. Sunday), 12/06
‘Ninataka Kumtumikia Mungu Kabla Sijafa’ (M. Free), 3/06
‘Nitapanda Juu Kama Vile Paa Anavyofanya’ (F. Abbatemarco), 8/06
Sikuwa na Tumaini Lakini Sasa Nina Furaha (V. González), 7/06
MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU
Ugaidi, 6/06
NCHI NA WATU
Alhambra (Hispania), 2/06
Bonde la Kifo (California, Marekani), 11/06
Bustani ya Kitamaduni Yenye Umaridadi wa Pekee (Guadeloupe; Martinique), 5/06
Chernobyl (Ukrainia), 4/06
‘Imetokana na Wazazi Safi Zaidi’ (chumvi, Brazili), 12/06
Kalipso—Muziki wa Kitamaduni wa Trinidad, 12/06
Kuwatafuta Mouflon (Saiprasi), 3/06
Lazima Ujumbe Uenezwe (Incas), 7/06
Mekong (mto, Asia), 11/06
Michael Agricola—“Mwanamume Aliyetokeza Mwanzo Mpya” (Finland), 1/06
“Mto Thames” (mto, Uingereza), 2/06
Paradiso Katika Kisiwa cha Mchanga (Kisiwa Fraser, Australia), 3/06
Tower Bridge—Njia ya Kuingia London, 10/06
Waromani (Wajipsi), 10/06
SAYANSI
Chembe Nyekundu za Damu, 1/06
Je, Kuna Muumba? 9/06
Je, Mageuzi Ni Jambo Hakika? 9/06
Kumhoji Mtaalamu wa Biokemia, 9/06
Kwa Nini Bahari Ina Chumvi? 7/06
Mwingereza “Stadi Ambaye Alisahauliwa,” (Robert Hooke), 7/06
Sababu Inayotufanya Tuamini Kuna Muumba, 9/06
Unaweza Kuishi Muda Mrefu Kadiri Gani? 5/06
VIJANA HUULIZA
Je, Nina Tatizo la Kula? 10/06
Kwa Nini Kuna Sheria Nyingi Sana? 12/06
Kwa Nini Mimi Hujiumiza? 1/06
Kwa Nini Ni Lazima Nisome? 5/06
Naweza Kutumiaje Pesa Zangu Vizuri? 6/06
Naweza Kuwasaidiaje Wale Wenye Uhitaji? 8/06
Nawezaje Kukataa Ngono Shuleni? 3/06
Ninaweza Kuiteteaje Imani Yangu Katika Uumbaji? 9/06
Ninaweza Kushindaje Zoea Hili? (kupiga punyeto), 11/06
Nitaachaje Kujiumiza? 2/06
Niyatumieje Maisha Yangu? 7/06
Urafiki Shuleni, 4/06
WANYAMA NA MIMEA
Kahawa—Jinsi Ilivyoenea, 3/06
“Magari Moshi Madogo” Yanayong’aa Gizani (minyoo wa reli), 11/06
Maumbo ya Mimea, 9/06
Mouflon (kondoo-mwitu), 3/06
Ndio Hao! (bata-bukini), 1/06
Punda, 12/06
Sifongo, 5/06
Vitwitwi (ndege), 8/06