Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Ungejibuje?

Ungejibuje?

Ungejibuje?

ILITUKIA WAPI?

1. Mlo wa jioni wa Bwana ulifanywa wapi kwa mara ya kwanza?

Chora mviringo kwenye jibu lako katika ramani.

Nazareti

Yeriko

Yerusalemu

Bethlehemu

◆ Mkate usiotiwa chachu unawakilisha nini?

․․․․․

◆ Divai nyekundu inawakilisha nini?

․․․․․

Zungumzeni Pamoja: Mlo wa Jioni wa Bwana ni ukumbusho wa nini? Ni nini kinachokupendeza kwenye pindi hiyo?

ILITUKIA LINI?

Taja jina la kila mwandishi aliyeandika kitabu cha Biblia kilichoorodheshwa hapa chini, na uchore mstari unaounganisha kitabu na tarehe kilipokamilishwa kuandikwa.

1077 B.C.E. 1040 B.C.E. 580 B.C.E. 55 C.E. 66 C.E.

2. 2 Samweli

3. 2 Wafalme

4. 2 Wakorintho

MIMI NI NANI?

5. Rafiki zangu waliniletea maji ya kunywa lakini niliyamwaga chini kana kwamba yalikuwa danu.

MIMI NI NANI?

6. Wengine walisema wao ni wangu; wengine wakasema wao ni wa Paulo, wengine wa Apolo, na wengine wa Kristo.

KATIKA TOLEO HILI

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

Ukurasa wa 8 Tunapaswa kuhakikisha nini? (Wafilipi 1:․․․)

Ukurasa wa 9 Unawezaje kuwa na hekima? (Methali 13:․․․)

Ukurasa wa 20 Ni nani atakayekuwa mkuu katika “Ufalme wa mbinguni”? (Mahayo 18:․․․)

Ukurasa wa 29 Ni nani ambaye hataurithi Ufalme? (Waefeso 5:․․․)

Watoto Watafute Picha

Je unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Eleza kwa maneno yako mwenyewe jambo linalotendeka katika kila picha.

(Majibu kwenye ukurasa wa 19)

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Yerusalemu.​—Mathayo 21:10, 17, 18; 26:17-19.

◆ Mwili wa Yesu.​—Mathayo 26:26.

◆ Damu ya Yesu.​—Mathayo 26:27, 28.

2. Gadi, Nathani, 1040 B.C.E.

3. Yeremia, 580 B.C.E.

4. Paulo, 55 C.E.

5. Daudi.​—2 Samweli 23:15-17.

6. Kefa, au Petro.​—Yohana 1:42; 1 Wakorintho 1:12.