Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Yaliyomo

Agosti 2008

Kuongezeka kwa Joto Duniani—Je, Sayari Yetu Imo Hatarini?

Ripoti katika vyombo vya habari zinazidi kuonyesha kwamba tusipotenda sasa, kuongezeka kwa joto duniani kunaweza kutokeza mabadiliko makubwa ya hali ya hewa yaliyo na madhara makubwa kwetu na kwa mazingira. Je, tuogope mambo hayo? Fikiria uthibitisho unaotolewa.

3 Je, Kuna Dalili za Matatizo?

4 Je, Dunia Inakabili Hatari?

8 Wakati Ujao wa Dunia Umo Mikononi mwa Nani?

10 Mhindi—Mmea wa Ajabu

13 Makanisa Yalipofika Tahiti

22 Kilio cha Mtoto wa Sokwe

25 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ushirikiano wa Ajabu Katika Udongo

26 Vijana Huuliza

Ninaweza Kupingaje Vishawishi?

29 “Asanteni kwa Kuwapenda Watu Sana”

30 Kuutazama Ulimwengu

31 Ungejibuje?

32 Msaada Katika Kipindi cha Kuomboleza

Upendo Wenye Nguvu Kuliko Kimbunga! 16

Soma kuhusu matendo mazuri yanayofanywa kunapokuwa na misiba ya asili, si kutoka kwa waathiriwa bali kutoka kwa wafanyakazi wa kutoa msaada ambao wamejidhabihu kabisa ili kuwasaidia.

Je, Tumwabudu Mungu Kupitia Sanamu? 20

Mamilioni ya watu hutumia sanamu za kuchongwa na za picha ili kuabudu. Muumba ana maoni gani kuhusu mazoea hayo?

[Picha katika ukurasa wa 2]

Ukame nchini Australia

[Picha katika ukurasa wa 2]

Mafuriko nchini Tuvalu

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

COVER: © Ingrid Visser/SeaPics.com; page 2: Australia: Photo by Jonathan Wood/Getty Images; Tuvalu: Gary Braasch/ZUMA Press