AMKENI! Septemba 2014 | Jinsi ya Kukabiliana na Uchovu Mwingi
Kazi inayochosha inaweza kufanya usiwe na furaha na hata kuwa mgonjwa. Unawezaje kukabiliana na hali hiyo?
Kuutazama Ulimwengu
Habari zinatia ndani: sheria inayowataka watoto wawatunze wazazi wao waliozeeka, jeuri dhidi ya wanawake kutoka kwa watu wasiotazamiwa, na ustadi wa kughushi bidhaa.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Jinsi ya Kushinda Kinyongo
Ili umsamehe mwenzi wako, je, unapaswa kupuuza au kujifanya kwamba hakukosea?
Kisukari —Unawezaje Kuepuka Ugonjwa Huu?
Asilimia 90 ya watu wenye kiwango cha juu cha sukari kwenye damu hawajui wana tatizo hilo.
TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA
Wamorisko Wafukuzwa Hispania
Baada ya Wamorisko kufukuzwa katika karne ya 17, Ukatoliki ukawa dini pekee nchini Hispania.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Chembe za Neva za Nzige Zinazotambua Mwelekeo
Nzige wanaepukaje kugongana wanaposafiri katika kikundi?
Habari Zaidi Mtandaoni
Nitawaelezaje Wengine Msimamo Wangu Kuhusu Ngono?
Ukiulizwa, ‘Wewe bado ni bikira?’ je, unaweza kueleza msimamo wako kuhusu ngono kwa kutumia Biblia?
Vijana Wanasema Nini Kuhusu Kuahirisha Mambo
Sikiliza kile ambacho vijana wanasema kuhusu hatari za kuahirisha mambo na faida za kutumia wakati wako kwa hekima.
Mungu Amtuma Musa Nchini Misri
Musa na Haruni walikuwa wajasiri walipokuwa wakizungumza na Farao. Pakueni mazoezi haya na myazungumzie pamoja mkiwa familia.