AMKENI! Aprili 2015 | Kwa Nini Watoto Hawana Nidhamu?
Wazazi wanaojitahidi kuwafundisha watoto wao maadili mema ni kana kwamba wanapinga tamaduni za kwao. Kwa nini hali iko hivyo?
HABARI KUU
Kwa Nini Watoto Hawana Nidhamu?
Je, kampeni iliyoanza katika miaka ya 1960, bado inaathiri malezi ya watoto leo?
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Jinsi ya Kukabiliana na Upweke
Kuhisi ukiwa mpweke kwa kuendelea kunaweza kudhuru afya yako sawa na kuvuta sigara 15 kwa siku. Unawezaje kuepuka hali hiyo ya kuhisi umetengwa na wengine na kuhisi ukiwa mpweke?
Je, Unatumia Teknolojia Kwa Busara?
Jibu maswali manne rahisi yafuatayo ili ujue jinsi hali yako ilivyo.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Kazi ya Sharubu za Paka
Kwa nini wanasayansi wanabuni roboti zilizo na vipokezi vinavyoitwa e-whiskers?
Habari Zaidi Mtandaoni
Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Michezo ya Kompyuta?
Kuna manufaa na hasara ambazo huenda hukuwa umewahi kufikiria.
Samehe kwa Hiari
Unapaswa kumtendeaje mtu ambaye amekutendea jambo baya?