Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2000
Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2000
Ikionyesha tarehe ya toleo ambamo makala yanaonekana
BIBLIA
Gospeli—Ni Kweli au Ni Hekaya Tu, 5/15
Kitabu Kizuri Tu? 12/1
Mwaka Muhimu kwa Ugawanyaji wa Biblia, 1/15
Ujumbe wa Siri? 4/1
MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO
Arusi Zenye Shangwe Zinazomletea Yehova Heshima, 5/1
“Dhihirisheni Imani Katika Nuru,” 2/15
Dumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na Maadili (Mit 5), 7/15
Faraja Katika Nguvu za Yehova, 4/15
Heshima kwa Mamlaka, 8/1
Je, Wewe Ni Mkristo “Aliyekua Kabisa”? 8/15
Je, Wewe Ni Mwenye Busara? 10/1
Kiasi Hukuza Amani, 3/15
Kuifanya Roho Takatifu Kuwa Msaidizi wa Mtu Binafsi, 10/15
Kujipendekeza Mwenyewe kwa Wengine, 4/15
Kumkaribia Mungu, 10/15
Kumtafuta Yehova kwa Moyo Ulio Tayari, 3/1
Kunufaika Kutokana na Vielelezo Vizuri, 7/1
Kuza Urafiki wa Karibu Pamoja na Yehova (Mit 3), 1/15
Kwa Nini Hawana Watoto? 8/1
Kwa Nini Unamtumikia Mungu? 12/15
Kwa Nini Uwe Mwenye Kujitolea? 9/15
Linda Jina Lako (Mit 6), 9/15
“Linda Moyo Wako” (Mit 4), 5/15
Matarajio Yenye Kiasi, 8/1
Mkristo Ni Nani? 6/1
Muziki Unaomfurahisha Mungu, 6/1
Shauri la Mama Lenye Hekima (Mit 31), 2/1
Tumikia Mungu kwa Moyo wa Kupenda, 11/15
Twahitaji Tengenezo la Yehova, 1/1
Ukadirieje Mafanikio? 11/1
Ushughulikeje na Kutoelewana? 8/15
Uwaone Wenye Jeuri Kama Mungu Awaonavyo? 4/15
‘Uzishike Amri, Ukaishi’ (Mit 7), 11/15
Wachungaji Wakristo, ‘Panueni Mioyo Yenu’! 7/1
Wajionaje? 1/15
MAKALA KUU ZA MAFUNZO
Dhabihu za Sifa Zinazompendeza Yehova, 8/15
Dhabihu Zilizompendeza Mungu, 8/15
Dhihirisha Mtazamo wa Akili wa Kristo, 9/1
Dumisha ‘Tumaini Lako la Wokovu’! 6/1
‘Ee Mungu, Utume Roho Yako,’ 3/15
“Fulizeni Kulinda,” 1/15
Funzo—Lenye Kuthawabisha na Lenye Kufurahisha, 10/1
“Hekima I Pamoja na Wenye Kiasi,” 8/1
Je, Una “Akili ya Kristo”? 2/15
Je, Unasukumwa Kutenda Kama Yesu? 2/15
Je, Utakuwepo Katika Ulimwengu Mpya? 4/15
Je, Wavipenda Mno Vikumbusha vya Yehova? 12/1
Jinsi Yehova Anavyotuongoza, 3/15
‘Jiokoe Wewe Mwenyewe na Wale Wakusikilizao,’ 6/1
Kimbelembele Hutokeza Aibu, 8/1
Kufanya Vitu Vyote Kuwa Vipya—Kama Ilivyotabiriwa, 4/15
Kuijua “Akili ya Kristo,” 2/15
Kununua Wakati wa Kusoma na Kujifunza, 10/1
Kupanda Mbegu za Kweli ya Ufalme, 7/1
Kutumikia Pamoja na Mlinzi, 1/1
Maoni ya Mungu Juu ya Ufisadi wa Kiadili, 11/1
“Mdogo” Amekuwa “Elfu,” 1/1
Ni Nani Walio Wahudumu wa Mungu Leo? 11/15
“Nyinyi Nyote Ni Akina Ndugu,” 6/15
Onyesha Mtazamo wa Kungoja! 9/1
“Saa Imekuja!” 9/15
“Saa Yake Ilikuwa Haijaja Bado,” 9/15
Saidia Wengine Watembee kwa Kumstahili Yehova, 12/15
Sikia Lile Ambalo Roho Husema, 5/1
Sikiliza Neno la Mungu la Kiunabii kwa Wakati Wetu, 5/15
Sikiliza Neno la Mungu la Kiunabii, 4/1
Simameni Mkiwa Kamili kwa Usadikisho Imara, 12/15
“Tafuteni BWANA na Nguvu Yake,” 3/1
Tangaza Habari Njema kwa Hamu, 7/1
Tegemeza kwa Uthabiti Fundisho la Mungu, 5/1
Tumaini la Ufufuo Lina Nguvu, 7/15
Tumaini la Ufufuo Ni Hakika! 7/15
Ufalme wa Mungu—Utawala Mpya wa Dunia, 10/15
Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili, 11/1
Urithi Wetu Wenye Thamani—Wamaanisha Nini Kwako? 9/1
Usomaji wa Biblia—Wenye Kufaidi na Wenye Kupendeza, 10/1
Uwe na Imani Katika Neno la Mungu la Kiunabii! 5/15
“Vitu Vinavyotamaniwa” Vinaijaza Nyumba ya Yehova, 1/15
Waheshimuni Waliopewa Mamlaka Juu Yenu, 6/15
Wakristo Hupata Furaha kwa Kutumikia, 11/15
Wanaopigana na Mungu Hawatashinda, 4/1
Waovu Wataendelea Hata Lini? 2/1
Wenye Shangwe Katika Mungu wa Wokovu Wetu, 2/1
Yatakayofanywa na Ufalme wa Mungu, 10/15
Yehova Hatakawia, 2/1
Yehova Humpa Nguvu Aliyechoka, 12/1
Yehova—Mungu Aliye Hodari kwa Nguvu Zake, 3/1
MAMBO MENGINE
Amani ya Ulimwengu—Jinsi Gani? 11/1
Antiokia (Siria), 7/15
Chuki Itaisha? 8/15
Cyril Lucaris—Mtu Aliyeithamini Biblia, 2/15
Imani Inaweza Kubadili Maisha Yako, 1/1
Je, Desturi za Krismasi Ni za Kikristo? 12/15
Je, Kusali Kuna Manufaa Yoyote? 11/15
Je, Ni Lazima Uamini? 12/1
Je, Uamini Usichoweza Kuona? 6/15
Jinsi Roho Itendavyo Kazi Leo, 4/1
Jinsi Unavyoweza Kupata Marafiki, 12/1
Kufanya Kazi Katika “Shamba”—Kabla ya Mavuno, 10/15
Kujifunza Kutokana na Wenzi Wawili wa Kwanza, 11/15
Kupambana na Ufisadi, 5/1
Kupata Amani ya Akili, 7/1
Kwa Nini Ushinde Mwelekeo wa Kutarajia Ukamilifu? 6/15
Maadili ya Biblia Yanafaa? 11/1
Maisha Makamilifu Si Ndoto! 6/15
Maisha ya Baada ya Kifo, 10/1
Maisha Yanaweza Kuwa na Maana Zaidi, 7/15
‘Mbuzi-Mwitu Avutiaye,’ 10/1
Mnyanyasaji Aona Nuru Kubwa (Paulo), 1/15
Mtu Aliye Mfano Bora Ambaye Alikubali Kusahihishwa (Yobu), 3/15
Mungu Hujibu Sala, 3/1
Muungano wa Kidini Wakaribia? 12/1
Mzeituni, 5/15
“Ndugu wa Poland,” 1/1
‘Nitaizunguka Madhabahu Yako,’ 5/1
“Nyakati za Kurudishwa” Zimekaribia! 9/1
Tii Onyo! 2/15
Uchawi, 4/1
Uchunguze Dini Nyingine? 10/15
Ufunguo wa Kupata Mafanikio, 2/1
Ugunduzi Mbalimbali Huko Yezreeli, 3/1
Ulimwengu Usiokatisha Tamaa, 9/15
Unapoweza Kupata Ushauri Mzuri, 6/1
Uzuri wa Ndani, 11/15
Wabeuzi, 7/15
Wajua Jinsi ya Kungoja? 9/1
Yosia, 9/15
MASHAHIDI WA YEHOVA
Altiplano Huko Peru, 11/15
Athawabishwa Baada ya Kutafuta kwa Muda Mrefu (Denmark), 9/1
India, 5/15
Italia, 1/15
“Kielelezo cha Muungano,” 10/15
Kisiwa cha Robinson Crusoe, 6/15
Kitabu cha Danieli Chafafanuliwa! (Kitabu cha Unabii wa Danieli), 1/15
Kuhitimu kwa Wanafunzi wa Gileadi, 6/15, 12/15
Kutangaza Ufalme Fiji, 9/15
Kuvua Watu Katika Bahari ya Aegea, 4/15
Miili Midogo, Mioyo Mikubwa, 2/15
Mikusanyiko ya “Neno la Mungu la Kiunabii,” 1/15
Mikusanyiko ya “Watekelezaji wa Neno la Mungu,” 2/15
Milima ya Chiapas (Mexico), 12/15
Mnyanyaso wa Nazi (Uholanzi), 4/1
Safari ya Kwenda Kufanya Kazi Katika Visiwa vya Pasifiki! 8/15
Senegal, 3/15
Taiwan, 7/15
Tuvalu, 12/15
Ukarimu Mwingi Huleta Shangwe (michango), 11/1
Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza, 1/1
MASIMULIZI YA MAISHA
“Hamjui Uhai Wenu Utakuwa Nini Kesho” (H. Jennings), 12/1
“Jinsi Inavyotamanika Imani Isiyofifia”! (H. Müller), 11/1
Kuishi Maisha Sahili Ili Kumtumikia Yehova (C. Moyer), 3/1
Kumkumbuka Muumba Wetu Kutoka Ujanani Kuendelea (D. Hibshman), 1/1
Mchukua-Nuru kwa Mataifa Mengi (G. Young), 7/1
Mtengenezaji wa Silaha Awa Mwokoaji wa Uhai (I. Ismailidis), 8/1
Namshukuru Yehova—Kupitia Utumishi wa Wakati Wote! (S. Reynolds), 5/1
Nilisaidiwa Kuacha Kuwa Mwenye Haya (R. Ulrich), 6/1
Nimebarikiwa kwa Urithi wa Pekee (C. Allen), 10/1
Yehova Huwathawabisha Waaminifu-Washikamanifu Wake Sikuzote (V. Duncombe), 9/1
Yehova Ni Ngome na Nguvu Yangu (M. Filteau), 2/1
MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI
Damu ya mtu mwenyewe, 10/15
Hasira ya kisasi ya nani? (Rom 12:19), 3/15
Je, ilimpendeza BWANA kumchubua Kristo? (Isa 53:10), 8/15
Kupinga hatua ya talaka, 12/15
Ni nani aliyelalamika juu ya mafuta yaliyomiminiwa Yesu? 4/15
Sehemu zinazotokana na damu, 6/15
WAPIGA-MBIU WA UFALME WARIPOTI
2/1, 3/1, 4/1, 5/1, 6/1, 8/1, 9/1, 12/1
YEHOVA
Atakukumbukaje? 2/1
Hujibu Sala, 3/1
Ni Mkubwa Zaidi Kuliko Mioyo Yetu, 5/1
YESU KRISTO
Jinsi Yesu Kristo Awezavyo Kutusaidia, 3/15