Masomo Yangu ya Biblia
UMRI USIOZIDI MIAKA 3
Kaleb anatambua kwamba rafiki yake ni mgonjwa.
Kwa hiyo, anasema: “Najua kile nitakachofanya.
Nitamwandikia barua ili kumfanya ajihisi vizuri,
kisha nitampelekea!”Ukionyesha fadhili, nyote wawili mtakuwa na furaha! 1 Petro 3:8
MAZOEZI
Mwombe mtoto wako akuonyeshe:
Nyumba Dawati Kaleb
Jua Ndege Mti
Mwambie mtoto wako kuhusu rafiki ambaye ni mgonjwa na mzungumzie jinsi ambavyo nyote wawili mnaweza kumtia moyo.