Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani

Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani

Pakua:

  1. 1. Nisafiripo barabarani, kila siku naona.

    Watu wengi wanakabili shida nyingi sana.

    Naye Yehova anikumbusha nisubiri tu,

    Hata iweje wewe sali tu ili ustahimili.

    (KORASI)

    Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli.

    Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni!

  2. 2. Mambo ni shwari kazini ila yaweza badilika.

    Na kwa kweli kuna fujo nami siko karibu.

    Nayakumbuka maneno haya usihukumu watu

    Hata aweje huenda si mwovu ahitaji huruma.

    (KORASI)

    Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli.

    Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni!

    (DARAJA)

    Kuwa tofauti

    Kwahitaji ujasiri.

    Dunia mbovu ya shetani,

    Yehova atakulinda.

  3. 3. Mwisho wa juma tunashiriki habari hizi njema,

    Lakini kuna watu wasiopenda, wakasirika we!

    Neno la Mungu lasema wazi twamwacha kwa amani.

    Pasipo kuni twazima moto, twamwacha kwa amani.

    (KORASI)

    Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli.

    Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni!

    (KORASI)

    Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli.

    Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni!