Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Nguvu Kupita Zangu

Nguvu Kupita Zangu

Pakua:

  1. 1. Mungu wangu, nalemewa

    Na mikazo, kwenye maisha.

    Nasali kwako hakika

    Napata nguvu

    Navumilia.

    (KIBWAGIZO)

    Nasali

    Nipatie roho yako.

    (KORASI)

    Kwa nguvu zako,

    Ninaweza kupaa Juu sana.

    Na kama mwewe ninapata,

    Nguvu zaidi ya nguvu zangu,

    Nguvu kupita zangu.

  2. 2. Nguvu zako unipazo,

    Hunifanya nitunze wengine.

    Wanaona wewe huwapenda sana,

    Na kujali.

    (KIBWAGIZO)

    Nasali

    Nipatie roho yako.

    (KORASI)

    Kwa nguvu zako,

    Ninaweza kupaa Juu sana.

    Na kama mwewe ninapata,

    Nguvu zaidi ya nguvu zangu,

    Nguvu kupita zangu.

    (KORASI)

    Kwa nguvu zako,

    Ninaweza kupaa Juu sana.

    Na kama mwewe ninapata,

    Nguvu zaidi ya nguvu zangu,

    Nguvu kupita zangu,

    Nguvu kupita zangu,

    Nguvu kupita zangu.