Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Turahisishe Maisha

Turahisishe Maisha

Pakua:

  1. 1. Vitu vyote tuonavyo

    Vyaonekana vinapendeza.

    Ukivitaka vyote hivyo—

    Kuvimudu hutaweza.

    (KORASI)

    Turahisishe.

    Maisha turidhike.

    Turahisishe atutunze.

    Turahisishe,

    Na tutakuwa huru.

    Turahisishe tufurahi.

  2. 2. Tunayo nyumba nzuri,

    Chakula, na kitanda.

    Tukiridhika na vitu hivyo,

    Tutakuwa na furaha.

    (KORASI)

    Turahisishe.

    Maisha turidhike.

    Turahisishe atutunze.

    Turahisishe,

    Na tutakuwa huru.

    Turahisishe tufurahi.

    (DARAJA)

    Yah atatubariki.

    Hatatuacha kamwe.

    Anatupenda sana.

    Atatutegemeza.

    Yeye ndiye Baba.

  3. 3. Maisha rahisi yapendeza!

    Twakuwa huru, hatulemewi.

    Sasa tuna wakati mwingi,

    Kumwabudu Mungu wetu.

    (KORASI)

    Turahisishe.

    Maisha turidhike.

    Turahisishe atutunze.

    Turahisishe,

    Na tutakuwa huru.

    Turahisishe.

    (KORASI)

    Turahisishe.

    Maisha turidhike.

    Turahisishe atutunze.

    Turahisishe,

    Na tutakuwa huru.

    Turahisishe tufurahi.