Utaona
Pakua:
1. Nafumba macho naona
Dunia mpya ya amani.
Njo’ nami,
Uone.
Uone.
2. Si ndoto tu, atatimiza.
Mungu kaahidi zamani
Ni za kweli,
Wazia.
Uone.
(KORASI)
Tazama—
Wote ni shangwe na furaha.
Uone—
Kusudi la Mungu kwa dunia.
3. Na waliokufa zamani,
Waishi tena; pamoja nasi.
Njo’ nami,
Uone.
Uone.
4. Maumivu wala kilio
Havipo tena; vimetoweka.
Njo’ nami,
Uone.
Uone.
(KORASI)
Tazama—
Wote ni shangwe na furaha.
Uone—
Kusudi la Mungu kwa dunia.
5. Neno la Yehova ni kweli.
Kwa Imani, ninasadiki.
(DARAJA)
Ahadi
Za Mungu,
Ni hakika
Zitadumu milele,
Nawe—
6. Fumba macho njo’ nami
Dunia mpya ya amani.
Njo’ nami,
Uone.
Uone.