Maoni Kuhusu Chanzo cha Uhai

Watu kutoka malezi tofauti-tofauti wanaeleza kilichowachochea kutafakari kuwapo kwa Muumba.

Monica Richardson: Daktari Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Alijiuliza ikiwa kuzaa kunatokea kimuujiza au kuna mbuni anayehusika. Alifikia mkataa gani kutokana na uzoefu wake akiwa daktari?

Massimo Tistarelli: Mbuni wa Roboti Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Kuiheshimu sayansi kulimfanya aanze kuwa na shaka kuhusu imani yake katika mageuzi.

Petr Muzny: Profesa wa Sheria Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Alizaliwa chini ya utawala wa Kikomunisti. Wazo la kuwepo kwa Muumba lilionwa kuwa halipatani na akili. Ona kilichomfanya abadili maoni yake.

Irène Hof Laurenceau: Mtaalamu wa Magonjwa ya Mifupa Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Kazi yake iliyohusisha kushughulikia miguu bandia ilimfanya atilie shaka imani yake katika mageuzi.

Huenda Ukapenda Pia

SAYANSI NA BIBLIA

Maoni Kuhusu Chanzo cha Uhai

Wanabiolojia, wanabiokemia, wauguzi, madaktari wa upasuaji, na wengine wanaeleza kuhusu chanzo cha uhai baada ya kulinganisha utafiti wao na kile ambacho Biblia inasema.