Jumamosi
“Mfanye pigano kali kwa ajili ya imani”—Yuda 3
ASUBUHI
-
3:20 Video ya Muziki
-
3:30 Wimbo Na. 57 na Sala
-
3:40 MFULULIZO: Kumbuka—Watu Wasio na Imani Wanaweza Kusitawisha Imani!
-
• Waninawi (Yona 3:5)
-
• Ndugu wa Kimwili wa Yesu (1 Wakorintho 15:7)
-
• Watu Maarufu (Wafilipi 3:7, 8)
-
• Wasiopenda Dini (Waroma 10:13-15; 1 Wakorintho 9:22)
-
-
4:30 Jenga Imani kwa Kutumia Chapisho Furahia Maisha Milele! (Yohana 17:3)
-
4:50 Wimbo Na. 67 na Matangazo
-
5:00 MFULULIZO: Wapiganaji wa Imani Waliofanikiwa
-
• Walio na Wenzi wa Ndoa Wasio Waamini (Wafilipi 3:17)
-
• Wanaolelewa na Mzazi Mmoja (2 Timotheo 1:5)
-
• Wakristo Waseja (1 Wakorintho 12:25)
-
-
5:45 UBATIZO: Wale Wanaoonyesha Imani Watapata Uzima wa Milele! (Mathayo 17:20; Yohana 3:16; Waebrania 11:6)
-
6:15 Wimbo Na. 79 na Mapumziko
ALASIRI
-
7:35 Video ya Muziki
-
7:45 Wimbo Na. 24
-
7:50 MFULULIZO: Jinsi Ndugu Zetu Wanavyoonyesha Imani . . .
-
• Afrika
-
• Asia
-
• Ulaya
-
• Amerika Kaskazini
-
• Oceania
-
• Amerika Kusini
-
-
8:15 MFULULIZO: Kwa Imani Ingia Mlango Unaoongoza Kwenye Utendaji
-
• Jifunze Lugha Mpya (1 Wakorintho 16:9)
-
• Hamia Eneo Lenye Uhitaji Mkubwa Zaidi (Waebrania 11:8-10)
-
• Jaza Ombi la Kuhudhuria Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme (1 Wakorintho 4:17)
-
• Saidia Katika Miradi ya Ujenzi ya Kitheokrasi (Nehemia 1:2, 3; 2:5)
-
• ‘Weka Kando Kitu Fulani’ kwa Ajili ya Kazi ya Yehova (1 Wakorintho 16:2)
-
-
9:15 Wimbo Na. 84 na Matangazo
-
9:20 DRAMA YA BIBLIA: Danieli: Alionyesha Imani Maisha Yake Yote—Sehemu ya 1 (Danieli 1:1–2:49; 4:1-33)
-
10:20 “Mfanye Pigano Kali kwa Ajili ya Imani”! (Yuda 3; Methali 14:15; Waroma 16:17)
-
10:55 Wimbo Na. 38 na Sala ya Mwisho