Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. 1. Tunawezaje kuwatambua marafiki wa amani? (Luka 10:6)

  2. 2. Tunawezaje kuwasaidia marafiki wa amani wawe marafiki wa Mungu? (Mt. 10:11)

  3. 3. Mkuu wa Amani anatusaidiaje kutafuta marafiki wa amani? (Isa. 9:6, 7; Mt. 28:20)

  4. 4. Tunawezaje kuonyesha kwamba sisi ni marafiki wa amani? (Zb. 11:5; 2 Tim. 2:24; Yak. 3:17, 18)

  5. 5. Marafiki wa amani wanasaidianaje? (2 Kor. 6:13)

  6. 6. Tunawezaje ‘kuendelea kuushinda uovu kwa wema’? (Rom. 12:2, 6, 10, 18)

© 2022 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

CA-brpgm23-SW