Familia ya Yehova Yenye Umoja
Asubuhi
-
3:30 Muziki
-
3:40 Wimbo Na. 85 na Sala
-
3:50 Thamini Sehemu Yako Katika Familia ya Yehova
-
4:05 Mfululizo: Walifanya Wengine Wahisi Wamekaribishwa
-
• Elihu
-
• Lidia
-
• Yesu
-
-
5:05 Wimbo Na. 100 na Matangazo
-
5:15 Endelea Kuwasaidia Wengine Wajiunge na Familia ya Yehova
-
5:30 Wakfu na Ubatizo
-
6:00 Wimbo Na. 135
Alasiri
-
7:10 Muziki
-
7:20 Wimbo Na. 132 na Sala
-
7:30 Hotuba ya Watu Wote: Je, Nyumba Yako Ina Utulivu na Amani?
-
8:00 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:30 Wimbo Na. 136 na Matangazo
-
8:40 Mfululizo: Uwe Chanzo cha Amani—Jinsi Gani?
-
• Zungumza “Neno Jema kwa Ajili ya Kujenga”
-
• ‘Tembea kwa Upendo’
-
• Pinga Adui Zetu
-
-
9:40 “Siachi Kamwe Kutoa Shukrani” Kwa Ajili ya Familia Yetu ya Kiroho
-
10:15 Wimbo Na. 107 na Sala