‘Hatuionei Aibu Habari Njema’
Asubuhi
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 67 na Sala
-
4:00 Kwa Nini ‘Hatuionei Aibu Habari Njema’?
-
4:15 Kuchukua Msimamo Upande wa Habari Njema
-
4:30 Uwe “Mfanyakazi Asiye na Lolote la Kuonea Aibu”
-
4:55 Wimbo Na. 73 na Matangazo
-
5:05 Kuonyesha Roho ya Nguvu, Upendo, na Utimamu wa Akili
-
5:35 Ubatizo: Endeleeni ‘Kujitiisha Kwenye Habari Njema’
-
6:05 Wimbo Na. 75
Alasiri
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 77
-
7:35 Mambo Yaliyoonwa
-
7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:15 Mfululizo: Hatuonei Aibu . . .
-
• Viwango vya Mungu vya Maadili
-
• Ufalme wa Mungu
-
• Wawakilishi wa Mungu
-
-
9:00 Wimbo Na. 40 na Matangazo
-
9:10 “Jigambe kwa Sababu ya Yehova”
-
9:55 Wimbo Na. 7 na Sala