Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. 1. Kwa nini ‘hatuionei aibu habari njema’? (Rom. 1:16; 11:13)

  2. 2. Tunachukuaje msimamo upande wa habari njema? (Mt. 10:32; Rom. 10:9)

  3. 3. Ni nini kinachofanya tuwe wafanyakazi wenye matokeo katika huduma? (2 Tim. 2:15)

  4. 4. Tunawezaje kuiga mfano wa Onesiforo? (2 Tim. 1:​7, 8)

  5. 5. Tunaonyeshaje kwamba hatuonei aibu kumwakilisha na kumtetea Mungu wetu? (Ebr. 10:39; 1 Pet. 3:15; Yoh. 18:36; 1 The. 5:​12, 13)

  6. 6. Tunawezaje ‘kujigamba kwa sababu ya Yehova’? (Zab. 34:​1, 2; 1 Kor. 1:31)

© 2024 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

CA-brpgm25-SW