Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. 1. Kuamini habari njema kuna matokeo gani katika mwenendo wetu? (Flp. 1:27; 3:8)

  2. 2. Habari njema inabadili jinsi gani maisha yetu? (Kol. 1:​5, 6)

  3. 3. Ni nini kinachotuchochea tuendelee kuhubiri habari njema? (2 Pet. 3:​11, 12; 1 Kor. 9:​19, 23)

  4. 4. Ni katika njia gani tunajipendekeza kuwa wahudumu wa Mungu? (2 Kor. 6:​4-8)

  5. 5. Habari njema inatuzoeza jinsi gani? (Tito 2:​11-14)

© 2024 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

CA-copgm25-SW