Indonesia
SIMULIZI hili lenye kusisimua linahusu Wakristo jasiri ambao walisimama imara wakati wa misukosuko ya kisiasa, migogoro ya kidini, na marufuku iliyodumu kwa miaka 25. Soma kuhusu ndugu aliyekuwa katika orodha ya watu ambao wangeuawa na Wakomunisti na kuhusu Mkristo mkomavu ambaye awali alikuwa kiongozi wa kundi la uhalifu. Soma historia inayosisimua ya wasichana wawili viziwi waliokuwa marafiki na baadaye wakagundua kwamba walitoka katika familia moja. Pia, soma jinsi watu wa Yehova wanavyofaulu kuhubiri eneo lenye Waislamu wengi duniani.
KATIKA SEHEMU HII
Maelezo Mafupi Kuhusu Indonesia
Pata maelezo mafupi kuhusu nchi, watu, na desturi za watu wa kisiwa kikubwa zaidi duniani.
Biashara ya Viungo
Katika karne ya 16, biashara ya viungo ilichangia sana ukuzi wa uchumi wa ulimwengu.
Ningependa Nianzie Hapa!
Makolpota (mapainia) wa wachache kutoka Australia walikabili changamoto mbalimbali walipokuwa wakianzisha kazi ya kuhubiri.
Mbinu za Awali za Kuhubiri
Radio broadcasts and harbor witnessing aroused the anger of powerful adversaries of the truth in Indonesia.
Kikundi cha Bibelkring
Kikundi hicho kilianzishwa kwa kutegemea machapisho ya Mashahidi wa Yehova lakini kilikuwa kinajiongoza kwa maoni ya wanadamu.
Alithamini Utajiri wa Kiroho
Watu wenye fujo walipora nyumbani Thio Seng Bie huku akishuhudia, hata hivyo, waliacha kitu alichothamini sana kuliko vitu alivyopoteza.
Matokeo Mazuri Katika Java Magharibi
Machapisho yalipoendelea kupigwa marufuku, Mashahidi waliendelea kuhubiri kwa busara.
Utawala wa Japani
Wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu baadhi ya Mashahidi waligundua njia mpya ya kujiandikisha bila kuathiri msimamo wao wa kutounga mkono upande wowote wakati wa utawala wa Japani.
Painia Jasiri
Katika kipindi chote cha miaka 60 ya utumishi, André Elias alidumisha uaminifu licha kuhojiwa na kutishwa.
Wamishonari Kutoka Gileadi Wawasili
Wamishonari wa kwanza kutoka Gileadi waliwasili kuendeleza kazi ya kuhubiri ifanywe haraka.
Kazi Yaongezeka Eneo la Mashariki
Je, wakati huu makasisi wangefanikiwa?
Wamishonari Zaidi Wawasili
Utendaji wa kazi ya kuhubiri habari njema uliathirika haraka katika miaka ya 1970.
Binti Halisi wa Sara
Titi Koetin alijitiisha kwa mume wake, jambo lililompatia baraka nyingi.
Kusanyiko la Kihistoria
Kusanyiko la “Habari Njema za Milele” lilifanikiwa kufanyika mwaka 1963 licha vipingamizi vingi.
Niliokoka Machafuko ya Ukomunisti
Kaburi la Ronald Jacka lilikuwa limeandaliwa.
Painia wa Pekee kwa Miaka Hamsini
Mwaka wa 1964 mhudumu wa Kiprotestanti alinitishia akisema, ‘Nitawafutilia mbali Mashahidi wa Yehova wa Manokwari!’ Je, alifaulu?
Kiongozi wa Uhalifu Awa Raia Mwema
Mkuu wa kitengo cha ujasusi aliuliza hivi: “Mashahidi wa Yehova wanafanya nini hasa nchini Indonesia?”
Waliazimia Kusonga Mbele
Nini kilichowachochea baadhi ya watu kusema, “Mashahidi wa Yehova ni kama msumari”?
Hawakuacha Kukusanyika Pamoja
Mashahidi wa Yehova walipoondolewa Marufuku, ofisa mmoja alisema hivi: “Barua hii ya kuwaandikisha haiwapatii uhuru wa ibada.”
Upendo wa Kikristo Majanga Yanapotokea
Mashahidi wa Yehova walifanya haraka kutoa msaada tetemeko lilipotokea katika mji wa Gunungsitoli nchini Indonesia.
Hatutakana Imani Yetu
Daniel Lokollo anakumbuka jinsi alivyoteswa na walinzi wa gereza.
Kutii Mwongozo Kulitusaidia Kuokoka!
Mgogoro kati ya Waislamu na Wakristo nchini Indonesia ulisababisha hali kwa Mashahidi wa Yehova.
Kazi Yapamba Moto
Marufuku ilipoondolewa, akina walifaidika sana kwa namna tatu.
Kutangaza Jina la Yehova kwa Ujasiri
Mashahidi wamekabili jinsi gani changamoto za tabia na utamaduni ambazo zingeathiri ujasiri?
Ofisi ya Tawi Iliyo Angani
Wajitoleaji waliokuwa wanatafuta eneo la kujitolea wamelipata.
Yehova Ametubariki Zaidi ya Tulivyotarajia!
Kutaniko katika kijiji cha Tugala, Indonesia, lilipata baraka nyingi bila kutajarajia.
Hatimaye Tumeungana Tena!
Dada viziwi wawili wa familia moja nchini Indonesia walitengana, mmoja alipopelekwa kuishi na familia nyingine. Hata hivyo, kweli iliwaunganisha tena.