Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Somo la 4

Somo la 4

Mvua inanyesha.

“Siwezi kutoka nje.

Kwa nini mvua haiachi kunyesha?”

Mary alalamika.

Ghafula! Jua latokea.

Mvua imeacha kunyesha.

Mary anafurahi!

Anakimbia nje, halafu, anaona kitu cha ajabu.

Mary anasema, “Sikujua mvua ya Mungu inaweza kufanya maua yamee!”

MAZOEZI

Msomee mtoto wako:

Matendo 14:17

Mwombe mtoto wako akuonyeshe:

Dirisha Ndege Mary

Mti Maua

Tafuteni vitu hivi.

Mpira Ndege ya abiria

Muulize mtoto wako:

Kwa nini Yehova aliumba mvua?