Imarisha Imani Yako!
ASUBUHI
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 119 na Sala
-
4:00 Kwa Nini Tuimarishe Imani Yetu Sasa?
-
4:15 Je, Unamwona “Yule Asiyeonekana”?
-
4:30 “Imani Hufuata Jambo Lililosikiwa”
-
4:55 Wimbo Na. 104 na Matangazo
-
5:05 “Tunda la Roho Ni . . . Imani”
-
5:35 Wakfu na Ubatizo
-
6:05 Wimbo Na. 50
ALASIRI
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 3
-
7:35 Mambo Yaliyoonwa
-
7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:15 Mfululizo: Wasaidie Wengine Waimarishe Imani Yao
-
• Msaidie Kijana Wako
-
• Wasaidie Wanafunzi Wako wa Biblia
-
• Wasaidie Waabudu Wenzako
-
-
9:00 Wimbo Na. 38 na Matangazo
-
9:10 “Mtazame kwa Makini Wakili Mkuu na Mkamilishaji wa Imani Yetu”
-
9:55 Wimbo Na. 126 na Sala