Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. 1. Kwa nini tunahitaji kuimarisha imani yetu sasa? (Ebr 10:39)

  2. 2. Unawezaje ‘kumwona’ Yehova ingawa haonekani? (Ebr 11:27)

  3. 3. Kwa nini ni muhimu kuchunguza unabii wa Biblia? (Ro 10:17)

  4. 4. Roho takatifu inaweza kutusaidiaje kusitawisha imani? (Luka 11:13; Gal 5:22)

  5. 5. Tunaweza kuwasaidiaje wengine waimarishe imani yao? (1Th 2:7, 8)

  6. 6. Kwa nini tunapaswa kumtazama “kwa makini Wakili Mkuu na Mkamilishaji wa imani yetu”? (Ebr 12:2, 3)