Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. Ni kwa njia gani sifa ya upendo ni bora kuliko ujuzi? (1 Kor. 8:1)

  2. Tunawezaje kulijenga kutaniko kama watumishi wa kale wa Mungu walivyofanya? (Rom. 13:8)

  3. Tunawezaje kujitoa kwa wale tunaowahubiria? (1 The. 2:7, 8)

  4. Tunawezaje kuchangia ukuzi wa undugu wetu wa Kikristo? (Efe. 4:1-3, 11-16; 1 The. 5:11)

  5. Tunawezaje kufanya mambo yote kwa upendo? (1 Kor. 16:14)