Ingia Katika Pumziko la Mungu!
Asubuhi
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 87 na Sala
-
4:00 Ingia Katika Pumziko la Mungu—Jinsi Gani?
-
4:15 “Neno la Mungu Liko Hai”—Kwa Njia Gani?
-
4:30 Endelea Kutafuta Mwongozo wa Yehova
-
4:55 Wimbo Na. 89 na Matangazo
-
5:05 Yehova Huwabariki Watiifu
-
5:35 Wakfu na Ubatizo
-
6:05 Wimbo Na. 32
Alasiri
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 49
-
7:35 Mambo Yaliyoonwa
-
7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:15 Mfululizo: Wanaufurahisha Moyo wa Yehova!
-
• Vijana
-
• Akina Dada
-
• Waliozeeka
-
-
9:00 Wimbo Na. 38 na Matangazo
-
9:10 Pata Shangwe Katika Utumishi Wako kwa Yehova
-
9:55 Wimbo Na. 118 na Sala