Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 8A

Unabii Kumhusu Masihi​—Mwerezi Mkubwa

Unabii Kumhusu Masihi​—Mwerezi Mkubwa

EZEKIELI 17:3-24

  • 1. Nebukadneza ampeleka Yehoyakini Babiloni

  • 2. Nebukadneza amweka Sedekia kuwa mtawala huko Yerusalemu

  • 3. Sedekia amwasi Yehova na kugeukia Misri ili kupata msaada wa kijeshi

  • 4. Yehova amweka Mwana wake juu ya Mlima Sayuni ulio mbinguni

  • 5. Chini ya kivuli cha utawala wa Ufalme wa Yesu, wanadamu watiifu wataishi kwa usalama