Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 11A

Baadhi ya Walinzi Walioweka Mfano Mzuri

Baadhi ya Walinzi Walioweka Mfano Mzuri

Walinzi hawa walikabili upinzani, lakini waliendelea kuwa washikamanifu, na walitangaza maonyo na pia habari njema.

ISRAELI LA KALE

  • Isaya 778–karibu 732 K.W.K.

  • Yeremia 647-580 K.W.K.

  • Ezekieli 613–karibu 591 K.W.K.

KARNE YA KWANZA

  • Yohana Mbatizaji 29-32 W.K.

  • Yesu 29-33 W.K.

  • Paulo karibu 34–karibu 65 W.K.

NYAKATI ZETU

  • C. T. Russell na Wenzake karibu 1879-1919

  • Mtumwa Mwaminifu 1919–Leo