Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tenda kwa Ujasiri!

Tenda kwa Ujasiri!

ZABURI 138:3

ASUBUHI

  • 3:30 Muziki

  • 3:40 Wimbo Na. 73 na Sala

  • 3:50 Yehova Anatufanya Tuwe Jasiri

  • 4:05 Mfululizo: Uwe Jasiri Kama . . .

    • Enoko

    • Musa

    • Yehoshafati

    • Petro

  • 5:05 Wimbo Na. 69 na Matangazo

  • 5:15 Jipe Ujasiri Katika Huduma

  • 5:30 Wakfu na Ubatizo

  • 6:00 Wimbo Na. 48

ALASIRI

  • 7:10 Muziki

  • 7:20 Wimbo Na. 63 na Sala

  • 7:30 Hotuba ya Watu Wote: Chukua Msimamo Upande wa Ibada Safi

  • 8:00 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi

  • 8:30 Wimbo Na. 76 na Matangazo

  • 8:40 Mfululizo: Iga Ujasiri wa Kristo Unaposhinikizwa

    • Katika Familia

    • Shuleni

    • Kazini

    • Katika Jamii

  • 9:40 “Utathawabishwa Sana” kwa Ujasiri Wako

  • 10:15 Wimbo Na. 119 na Sala