Ufanye Moyo wa Yehova Ushangilie!
ASUBUHI
-
3:30 Muziki
-
3:40 Wimbo Na. 29 na Sala
-
3:50 Ufanye Moyo wa Yehova Ushangilie!
-
4:05 Mfululizo: Kuiga Sifa Nne za Pekee za Yehova
-
• Haki
-
• Nguvu
-
• Hekima
-
• Upendo
-
-
5:05 Wimbo Na. 81 na Matangazo
-
5:15 Mtukuze Mungu kwa “Kuzaa Matunda Mengi”
-
5:30 Wakfu na Ubatizo
-
6:00 Wimbo Na. 49
ALASIRI
-
7:10 Muziki
-
7:20 Wimbo Na. 28 na Sala
-
7:30 Hotuba ya Watu Wote: Unaweza Kumfanya Mungu Ashangilie!—Jinsi Gani?
-
8:00 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:30 Wimbo Na. 35 na Matangazo
-
8:40 Mfululizo: Mfurahishe Yehova Katika . . .
-
• Maisha Yako ya Kibinafsi
-
• Familia Yako
-
• Kutaniko Lako
-
• Eneo Unaloishi
-
-
9:40 “Shangwe ya Yehova Ndiyo Nguvu Yenu”
-
10:15 Wimbo Na. 110 na Sala