Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. 1. Ni maandalizi gani matatu kutoka kwa Yehova yanayotuletea shangwe? (Zb. 32:1-10)

  2. 2. Tunawezaje kupata shangwe sasa? (Zb. 5:11, 12; 91:14)

  3. 3. Tunaweza kudumishaje shangwe yetu katika huduma licha ya changamoto? (Mdo. 13:50-52; Ro. 5:3-5)

  4. 4. Tunawezaje kuepuka ‘kulemewa’ na kupoteza shangwe yetu? (Lu. 21:34)

  5. 5. Yehova hufanya nini ili tushangilie? (Zb. 92:4, 5)

  6. 6. Ni nini kitakachotusaidia kumweka Yehova mbele yetu daima? (Ro. 1:20; Kum. 6:6-9; Flp. 4:6; Zb. 16:3)