Ijumaa
“Uwe jasiri na imara kabisa”—YOSHUA 1:7
ASUBUHI
-
3:20 Video ya Muziki
-
3:30 Wimbo Na. 110 na Sala
-
3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Yehova—Chanzo cha Ujasiri wa Kweli (Zaburi 28:7; 31:24; 112:7, 8; 2 Timotheo 1:7)
-
4:10 MFULULIZO: Wakristo wa Kweli Wanahitaji Ujasiri
-
Ili Kuhubiri (Ufunuo 14:6)
-
Ili Kuendelea Kuwa Watakatifu (1 Wakorintho 16:13, 14)
-
Ili Wasiunge Mkono Upande Wowote (Ufunuo 13:16, 17)
-
-
5:05 Wimbo Na. 126 na Matangazo
-
5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: “Uwe Jasiri na Imara na Uanze Kazi”! (1 Mambo ya Nyakati 28:1-20; 1 Samweli 16:1-23; 17:1-51)
-
5:45 “Hakuna Silaha Yoyote Itakayotokezwa Dhidi Yako Itakayofanikiwa” (Isaya 54:17; Zaburi 118:5-7)
-
6:15 Wimbo Na. 61 na Mapumziko
ALASIRI
-
7:25 Video ya Muziki
-
7:35 Wimbo Na. 69
-
7:40 MFULULIZO: Linganisha Hali Zinazodhoofisha Ujasiri na Hali Zinazouimarisha
-
Kukata Tamaa na Tumaini (Zaburi 27:13, 14)
-
Kulalamika na Kutoa Shukrani (Zaburi 27:1-3)
-
Burudani Isiyofaa na Huduma ya Shambani (Zaburi 27:4)
-
Marafiki Wabaya na Marafiki Wazuri (Zaburi 27:5; Methali 13:20)
-
Hekima ya Ulimwengu na Funzo la Kibinafsi (Zaburi 27:11)
-
Shaka na Imani (Zaburi 27:7-10)
-
-
9:10 Wimbo Na. 55 na Matangazo
-
9:20 MFULULIZO: Walikuwa Tayari Kupoteza Nini, Na Walithawabishwaje?
-
Hanania, Mishaeli, na Azaria (Danieli 1:11-13; 3:27-29)
-
Akila na Prisila (Waroma 16:3, 4)
-
Stefano (Matendo 6:11, 12)
-
-
9:55 “Jipeni Moyo! Mimi Nimeushinda Ulimwengu” (Yohana 16:33; 1 Petro 2:21, 22)
-
10:15 Wanajeshi Jasiri wa Kristo (2 Wakorintho 10:4, 5; Waefeso 6:12-18; 2 Timotheo 2:3, 4)
-
10:50 Wimbo Na. 22 na Sala ya Mwisho