Jumapili
“Uwe jasiri na uwe na moyo mkuu. Naam, mtumaini Yehova”—ZABURI 27:14
ASUBUHI
-
3:20 Video ya Muziki
-
3:30 Wimbo Na. 73 na Sala
-
3:40 MFULULIZO: Matukio ya Wakati Ujao Yatakayohitaji Ujasiri
-
Tangazo la “Amani na Usalama!”
-
Kuharibiwa kwa Babiloni Mkubwa (Ufunuo 17:16, 17)
-
Kutangaza Ujumbe Mzito Kama Mvua ya Mawe (Ufunuo 16:21)
-
Shambulizi la Gogu wa Magogu (Ezekieli 38:10-12, 14-16)
-
Har–Magedoni (Ufunuo 16:14, 16)
-
Kazi Kubwa ya Kujenga Upya (Isaya 65:21)
-
Jaribu la Mwisho (Ufunuo 20:3, 7, 8)
-
-
5:10 Wimbo Na. 8 na Matangazo
-
5:20 HOTUBA YA WATU WOTE: Tumaini la Ufufuo Hutufanya Tuwe Jasiri—Jinsi Gani? (Marko 5:35-42; Luka 12:4, 5; Yohana 5:28, 29; 11:11-14)
-
5:50 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
6:20 Wimbo Na. 151 na Mapumziko
ALASIRI
-
7:35 Video ya Muziki
-
7:45 Wimbo Na. 5
-
7:50 SINEMA: Hadithi ya Yona—Somo Kuhusu Ujasiri na Rehema (Yona 1-4)
-
8:40 Wimbo Na. 71 na Matangazo
-
8:50 Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Dhidi Yetu! (Kumbukumbu la Torati 7:17, 21; 28:2; 2 Wafalme 6:16; 2 Mambo ya Nyakati 14:9-11; 32:7, 8, 21; Isaya 41:10-13)
-
9:50 Wimbo wa Mwisho na Sala