Jumapili
“Yule ambaye atavumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa” —MATHAYO 24:13
ASUBUHI
-
3:20 Video ya Muziki
-
3:30 Wimbo Na. 121 na Sala
-
3:40 MFULULIZO: Lazima “Tukimbie kwa Uvumilivu”
-
Kimbia Ili Ushinde! (1 Wakorintho 9:24)
-
Fanya Mazoezi kwa Bidii (1 Wakorintho 9:25-27)
-
Ondoa Mizigo Isiyo ya Lazima (Waebrania 12:1)
-
Iga Mifano Mizuri (Waebrania 12:2, 3)
-
Kula Chakula Chenye Lishe (Waebrania 5:12-14)
-
Kunywa Maji Mengi (Ufunuo 22:17)
-
Tii Sheria za Shindano (2 Timotheo 2:5)
-
Uwe na Uhakika Kwamba Utapata Tuzo (Waroma 15:13)
-
-
5:10 Wimbo Na. 141 na Matangazo
-
5:20 HOTUBA YA WATU WOTE: Usikate Tamaa Kamwe! (Isaya 48:17; Yeremia 29:11)
-
5:50 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
6:20 Wimbo Na. 20 na Mapumziko
ALASIRI
-
7:35 Video ya Muziki
-
7:45 Wimbo Na. 57
-
7:50 DRAMA: “Mkumbukeni Mke wa Loti”—Sehemu ya 3 (Luka 17:28-33)
-
8:20 Wimbo Na. 54 na Matangazo
-
8:30 ‘Endelea Kuitarajia, Haitachelewa!’ (Habakuki 2:3)
-
9:30 Wimbo Na. 129 na Sala ya Kumalizia