Usife Moyo Katika Kutimiza Sheria ya Kristo!
ASUBUHI
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 17 na Sala
-
4:00 Sheria ya Kristo Ni Nini?
-
4:15 Timiza Sheria ya Kristo Ukiwa Faraghani
-
4:30 Kutimiza Sheria ya Kristo Katika Huduma ya Shambani
-
4:55 Wimbo Na. 70 na Matangazo
-
5:05 Ubora wa Sheria ya Kristo
-
5:35 Wakfu na Ubatizo
-
6:05 Wimbo Na. 51
ALASIRI
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 76
-
7:35 Mambo Yaliyoonwa
-
7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:15 Timiza Sheria ya Kristo Katika Familia
-
8:30 Timiza Sheria ya Kristo Unapokuwa Shuleni
-
8:45 Wimbo Na. 35 na Matangazo
-
8:55 Mpendane, Kama Vile Yesu Alivyowapenda
-
9:55 Wimbo Na. 13 na Sala