Fahirisi ya Mifano (Vielelezo)
Namba zinaonyesha sura.
chachu iliyochanganywa na unga 43
chachu ya Mafarisayo 58
chumvi ya dunia 35
divai mpya, viriba vilivyochakaa 28
drakma iliyopotea 85
drakma yapatikana 85
hazina iliyofichwa shambani 43
karamu ya ndoa ya mfalme 107
kondoo aliyepotea 63
kondoo na mbuzi 114
kuchuja mbu, kummeza ngamia 109
kujenga mnara 84
kuketi mahali penye heshima zaidi 83
kuku awakusanya vifaranga wake 110
kushona kitambaa kipya kwenye vazi la zamani 28
kuwaalika maskini kwenye karamu 83
kuweka mkono kwenye jembe la ng’ombe 65
lango jembamba 35
lulu yenye thamani kubwa 43
mabikira kumi 112
mbegu kwenye udongo wa aina mbalimbali 43
mbegu ya haradali, imani 89
mbegu ya haradali, Ufalme 43
mbegu ya ngano inakufa, kisha inatoa mazao 103
Mchungaji Mwema 80
mfalme anayefikiria kwenda vitani 84
mfalme asemehe deni kubwa 64
mina 100
mjane na mwamuzi 94
mkusanya kodi na Farisayo 94
mpandaji 43
mpandaji anayelala 43
Msamaria mwema 73
msimamizi asiye mwadilifu 87
msimamizi mwaminifu 78
msingi wa nyumba 35
msiwatupie nguruwe lulu 35
mtini 79
mtumwa anayeingia kutoka shambani 89
mtumwa asiyesamehe 64
mtumwa mwaminifu na mwenye busara 111
mwana aliyekuwa amepotea 86
mwana mpotevu 86
mzabibu wa kweli 120
ndege na mayungiyungi 35
ngamia kupita katika tundu la sindano 96
ngano na magugu 43
nyumba iliyojengwa kwenye mwamba 35
rafiki anayeendelea kuomba 74
roho mwovu arudi 42
tajiri aliyejenga maghala 77
tajiri na Lazaro 88
talanta 113
tundu la sindano 96
unyasi katika jicho la ndugu 35
utayari wa baba wa kuwapa watu 35
wafanyakazi katika shamba la mizabibu 97
wafanyakazi walipwa dinari 97
wakataa mwaliko wa mlo 83
wakulima wamuua mwana wa mwenye shamba 106
wakulima wauaji 106
watoto sokoni 39
watoto wawili watumwa kwenye shamba la mizabibu 106
watu wawili wenye madeni 40
watumwa wanaosubiri bwana wao arudi 78
wavu wa kukokotwa 43
wavuvi wa watu 22