Hamia kwenye habari

Matembezi ya Betheli

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu za tawi, tunazoziita Betheli. Baadhi ya ofisi zetu zina maonyesho utakayotembelea ukiwa peke yako.

Kurejea kwa Matembezi ya Ofisi: Katika nchi nyingi, tutaanza tena kuruhusu matembezi katika ofisi zetu za tawi kuanzia Juni 1, 2023. Ili kupata habari zaidi, wasiliana na ofisi ya tawi unayopenda kuitembelea. Tafadhali usitembelee ofisi ya tawi ikiwa una ugonjwa wa Virusi vya Corona (COVID-19), una dalili za homa au mafua, au hivi karibuni ulishirikiana na mtu aliye na ugonjwa wa COVID-19.

Ujerumani

Habari Kuhusu Matembezi

Toa Ombi la Matembezi

Angalia au Ubadili Maombi

Pakua Broshua ya Matembezi

Maonyesho

Maonyesho ya Kihistoria ya Ulaya ya Kati. Katika sehemu ya “Family Chronicle (Historia ya Familia Yetu),” wageni watajifunza kuhusu historia ya Mashahidi wa Yehova nchini Austria, Ujerumani, Liechtenstein, Luxembourg, na Uswisi. Maonyesho hayo yanaonyesha jinsi Yehova anavyobariki kazi ya kuhubiri kuanzia wakati wahubiri mmojammoja walipokuwa wakianza kuhubiri kwa ujasiri katika miaka ya 1890, na katika kipindi cha marufuku na mateso hadi wakati wetu ambapo kuna ukuzi mkubwa sana.

Anwani na Namba ya Simu