Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Antigua na Barbuda

Taarifa Fupi—Antigua na Barbuda

  • 100,000—Idadi
  • 481—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 7—Makutaniko
  • 1 kwa 216—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Waharakisha Jitihada za Kutoa Msaada

Ofisi za tawi za Mashahidi wa Yehova zinatoa ripoti kuhusu kazi inayoendelea ya kutoa msaada na faraja ya kiroho kwa wale walioathiriwa na Vimbunga Irma na Maria.