Taarifa Fupi—New Caledonia
- 271,000—Idadi
- 2,693—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 34—Makutaniko
- 1 kwa 103—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Biblia Saba Zatolewa Katika Sehemu Mbalimbali Ulimwenguni Agosti 2024
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi wa Yehova Watoa Msaada Baada ya Tufani ya Pam
Mashahidi wanatoa msaada wa kimwili na pia faraja na msaada wa kiroho kwa walioathiriwa.