Taarifa Fupi—Filipino
- 113,964,000—Idadi
- 253,876—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 3,552—Makutaniko
- 1 kwa 464—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE
Kumtumikia Yehova Licha ya Magumu ya Kiuchumi
Katika miaka ya 1970 na 1980, Mashahidi wa Yehova nchini Filipino walipitia hali ngumu sana za kiuchumi. Ona jinsi mfano wao unavyoweza kutusaidia leo tunapokabili hali zinazobadilika upesi.
TAARIFA ZA HABARI
Mafuriko Yatokea Sehemu Nyingi Baada ya Kimbunga Gaemi Kuikumba Filipino
TAARIFA ZA HABARI
Tetemeko Kubwa la Ardhi Lapiga Kusini mwa Filipino
TAARIFA ZA HABARI
Kimbunga Doksuri Chaikumba Filipino
TAARIFA ZA HABARI
Miaka Sabini na Tano ya Utendaji wa Wamishonari Nchini Filipino
TAARIFA ZA HABARI
Wasomaji wa Kitagalog Wamenufaishwa na Mnara wa Mlinzi kwa Miaka 75
TAARIFA ZA HABARI
Kimbunga Rai Chaipiga Filipino
TAARIFA ZA HABARI
Manila, Ufilipino—Kusanyiko la Kimataifa la “Upendo Haushindwi Kamwe”!
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Nimekuwa “Mambo Yote kwa Watu wa Namna Zote”
igawo mingi ambayo Denton Hopkinson amekuwa nayo kwa miaka mingi imemsaidia kuona jinsi Yehova anavyowapenda watu wa namna zote.
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Walijitoa Wenyewe kwa Hiari Nchini Ufilipino
Jifunze kilichowachochea wengine kuacha kazi zao, kuuza vitu vyao, na kuhamia katika maeneo ya mbali nchini Ufilipino.