Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Swedeni

  • Trosa, Sweden—Kutoa machapisho yanayotegemea Biblia barabarani

  • Stockholm, Sweden—Kuanzisha funzo la Biblia na dereva wa teksi saa sita usiku katika kipindi ambacho mwangaza unakuwepo mpaka usiku

  • Trosa, Sweden—Kutoa machapisho yanayotegemea Biblia barabarani

  • Stockholm, Sweden—Kuanzisha funzo la Biblia na dereva wa teksi saa sita usiku katika kipindi ambacho mwangaza unakuwepo mpaka usiku

Taarifa Fupi—Swedeni

  • 10,541,000—Idadi
  • 22,454—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 280—Makutaniko
  • 1 kwa 472—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini