Taarifa Fupi—Finland
- 5,564,000—Idadi
- 18,186—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 272—Makutaniko
- 1 kwa 307—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
KAZI YA KUHUBIRI
Kampeni Yenye Mafanikio Kwenye Eneo la Lapland
Soma jinsi wenyeji wa Lapland walivyoitikia jitihada za pekee zilipofanywa kusaidia jamii yao.
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Miaka Hamsini ya Utumishi wa Wakati Wote Karibu na Mzingo wa Aktiki
Soma simulizi la maisha la Aili na Annikki Mattila, waliojifunza kumtegemea Yehova walipotumikia wakiwa mapainia wa pekee kaskazini mwa Finland.